Duuuh...soksi zinaniumbua leo!

FM stereo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
206
122
Miguu yangu huwa haini ruhusu kuvaa soksi siku mbili. Leo nimerudia kuvaa soksi za jana sababu ya haraka.Yani hapa ofisin miguu inatema hadi najisikia aibu. Hapo nje wanauza soksi. Lakini ni za plastiki, yani izo ndo balaa nkivaa. Leo naumbuka.
 
Kuna mmoja mbele yangu hapa kavua soksi midole yote njee ,soksi imetobokatoboka mpaka kwenye ankle.
 
Pole sana kaka, mi nashukuru sina kawaida ya kunuka miguu hata nikivaa soksi wiki nzima
 
fanya mpango upate sox bana
au uko vijjin
leo samehe hata tea
muda wa tea kasake sox
hakuna kitu cha aibu kama
masox yanatema
kwapa liteme
na majitu mengine
hata maboxer yao yanatoa
maharufu ya kutosha
ilimradi ukikutana na mtu utadhani beberu
la mbuzi khaaaaaa!

Miguu yangu huwa haini ruhusu kuvaa soksi siku mbili. Leo nimerudia kuvaa soksi za jana sababu ya haraka.Yani hapa ofisin miguu inatema hadi najisikia aibu. Hapo nje wanauza soksi. Lakini ni za plastiki, yani izo ndo balaa nkivaa. Leo naumbuka.
 
na leo huwezi kabisa kupitia kwa mamadogo manake na kachumba kake kamoja ndo itakuwa uvundo.
 
huu mda wa kazi tayari mko Jf hasa kwenu wafanyakazi wa maofisini.
Hao raia wanaosubiri huduma hapo reception mtawahudumia baada ya tea break ama
 
Miguu yangu huwa haini ruhusu kuvaa soksi siku mbili. Leo nimerudia kuvaa soksi za jana sababu ya haraka.Yani hapa ofisin miguu inatema hadi najisikia aibu. Hapo nje wanauza soksi. Lakini ni za plastiki, yani izo ndo balaa nkivaa. Leo naumbuka.

Mkuu, chukulia hilo kama fundisho. Nakushauri kuanzia sasa uwe na jozi moja ya soksi (safi) ya akiba kwenye droo. Itakapotokea hali kama ya leo basi unaweza kubadilisha hapohapo ofisini kimyakimya. Weka kwenye bahasha ili usiwe embarrassed ukifungua droo ghafla mbele ya colleagues. Kumbuka kurudisha jozi nyingine kwenye droo mara tu unapotumia iliyokuwepo.
Kwa leo niseme tu "pole". Nisingekushauri uvae za plastiki, zitakuzulia balaa nyingine!
 
Back
Top Bottom