Inashauriwa sana kwa wale watu wanaotaka kupunguza uzito wa mwili kuwa wanapima HIV mara kwa mara maana ule mda wakusubiria majibu baada ya kutolewa damu watu wengi hupungua kilo 2 so ukipima kila mwezi itakusaidia mno...Hata kama wewe umetulia hakuna mwenye uhakika wa tabia ya patner wake so lazima kijasho kikutoke tu wakati wakusubiri majibu na kilo 2 chap iondoke.
Jumatatu iliyopita nilienda Agha khan kupima HIV.... wala sikuwa na wasi wasi... na majibu yakatoka poa... na ni tabia yangu kupima kila baada ya miezi minne..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.