duuu,alichokiimba NAY WA MITEGO kwenye wimbo wake mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

duuu,alichokiimba NAY WA MITEGO kwenye wimbo wake mpya

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mr-Africa, Oct 17, 2012.

 1. M

  Mr-Africa Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ni maneno ndani ya wimbo mpya wa nay wa mitego,unaitwa wamenichokoza,kuna msitali anasema,NDANI YA POCHI YA MALAYA.,HAPAKOSEKANI PODA NA WANJA.kuna verse kaponda wanasiasa kwamb wanachochea maandamano wao hawaandaman wanatulia majumbn mwao,laia vihere here wanaandama,wanaishia kutwangwa risasi
  mstali mwingine kaponda wachungaji kwa kusema;din imekuwa kama fani.inachuana na bongo fleva,mwanzo alivuma kakobe kashuka chat,2pa kule,akaja mama rwakatale kashuka chat kakimbilia siasa na sasa ni anton rusekelo
  msali mwingne kasema,wasanii wanaojiita jembe basi yeye ndo mpin,na wanaojiita wanyama,atawala nyama
  kaponda tena bongo movie,kina jb wanaharibu madada ze2 kwa kuwagonga ili waonekane kwenye movie zao mwisho wa siku wanazoea na kuwa makahaba
  mstali mwingine anasema,ukimchukia,pasuka,ukijfanya humjui basi dada ako anamjua na ukijifnya humpend,demu wako anampenda
  kamalizia kwa kusema hataacha kuwachana bongo movie na wenzake wa bongo fleva mpaka waache mambo ya kijinga yasiyo na maadili
  na mwisho kasema hamwogop m2,ni ukwel kwa kwenda mbele
  ILA BAADA YA WIMBO HUU KUSIKIKA,BASATA WANATAKA WAMFUNGIE...
   
 2. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  BASATA nao si was**ge tu.OYA NEY UKIMWONA BWEG* YEYOTE ANAZINGUA MKAMULIE TU TENA NA BADO WAKO WENDAWAZIMU WENGI TU WACHANE WOTE.BIG UP SANA MKUU NEY HUKO REAL KAMA HAWAPENDI WAJIREKEBISHE.
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mbona sioni mistari hapo naona mipasho tu??
   
 4. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa anatukana maandamano wakati haki zake mwenyewe zimechakachuliwa,mwanamuziki wa uk nayeye wanaweza kwenda sawa?aache uzuzu atapntea kisanaa badala aboreshe mziki wake ana tukana hovyo hovyo tu lakin hii ndo bongo bana kapata vipesa vya gest kesha jiamin sanaa
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  Ni maadhi ya taarab au???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  ni sawa na mtu anaoga mtoni akatokea kichaa akabeba na kukimbia badala ya kuchutama unaanza kumkimbiza,mwisho wa siku inaonekana Ney ndio hana maadili.
   
 7. S

  Spenderjak Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aache hiphop anafaa taarabu
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  watoto wangu eee elimu muhimu sana
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  akiacha kuponda watu ataimba nini?
   
 10. Sunuka

  Sunuka Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Sasa anawaponda bongo movie mademu malaya wakati yy mwenyewe anatoka na NISHA kwahiyo anatapika nyongo nakuilamba tena halafu kinachochangia yote hayo shule sifuri
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Sioni jipya hapo, aungane na isha mashauzi kwenye bendi yake!
   
 12. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kwa nini aliwaponda Afande sele na Madee wakati na yeye anaimba mipasho? Ndo anapotea hivyo
   
 13. k

  kinubi Senior Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Kwahiyoooooo
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  usicheze na kitumbua arifu.....

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  Picha hizi zimesambaa kwa kasi ikiwa ni siku moja tu baada ya NEY KUKANUSHA KUWA HANA UHUSIANO NA NISHA ...

  Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa "MADONGO" Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...

  Kumbe na yeye alikuwa anaponea huko huko
   
 15. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Upuuzi tu huo.
   
 16. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  heee so kuna mtu pembeni alikuwa anawapiga ama?? jamani ustaa kazi.mweeee!!!
   
 17. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu Ney, mi naikubali mistari yako m2 wangu yani unatoa vitu halisi halisia! usirudi nyuma komaa nao mwanzo mwisho mpaka kieleweke hiyo ndo real hip hop.
   
 18. kyanaKyoMuhaya

  kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mmmmhhhhhhh!!!!!!! Napita hivi ni hip hop, uzoefu sina.
   
Loading...