Duuh yamenikuta!!.

aisee. sina maoni sana wala kona kona nyingi, kula bati na wewe asiporudi basi jua si wako tena
 
mulika mwizi

Umeona eeh!!

Yaani Ma'swagga na ujanja wake wote hili ameshindwa kuliona???

Kimbia fasta, toka nduki we kimbia, ukianguka ukiumia inuka vumilia, kimbia , kimbia ..... unawakumbuka hao Babuu na Langa..... read me between lines labda naweza kukufaa!
 
najua my dear,ila kama huo ndo ukweli Mungu akusaidie uweze kuukubali,kuukabili na kusonga mbele na maisha yako mana si vizur kujweka sehemu usiyopendwa tena.
Thanx a lot nimekupata haswaa
 
Umeona eeh!!

Yaani Ma'swagga na ujanja wake wote hili ameshindwa kuliona???

Kimbia fasta, toka nduki we kimbia, ukianguka ukiumia inuka vumilia, kimbia , kimbia ..... unawakumbuka hao Babuu na Langa..... read me between lines labda naweza kukufaa!

Labda unaweza kunifaa kweli ngoja nione
 
Space sijui nini hamna kitu! Jichungize tangu mmeanza naye mpaka kuwa kitanda kimoja hadi leo umefanya kosa gani! Usikutte unaingiza siasa kwenye ndoa! Yaani hata kama wewe ni mkuu wa mkoa achana na hizo! Ukirudi nyumbani wewe ni mke wake tuu! tafakari chukua hatua. Space means giving intruder time to win!
 
Space sijui nini hamna kitu! Jichungize tangu mmeanza naye mpaka kuwa kitanda kimoja hadi leo umefanya kosa gani! Usikutte unaingiza siasa kwenye ndoa! Yaani hata kama wewe ni mkuu wa mkoa achana na hizo! Ukirudi nyumbani wewe ni mke wake tuu! tafakari chukua hatua. Space means giving intruder time to win!

Asante nitalifanyia kazi hilo
 
pole
maana yake anahitaji break
peaneni space kwanza
Kumbe ni kichwa kinamuuma, kishalewa, anajipoza na maji
Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza ma melody
Nishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuwa chizi
Hayanaga ujuzi yawee, kila mtu analilia mapenzi
Karibu chama la bachala
Ukinipenda, namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana ishakuwa poa poa tuu
Hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
Money on the table, kinachofata ni mimi na wewe
 
]

Kumradhi The Boss....lakini nachukia sana hiyo 'kupeana space'! Katika miaka yangu yote ya relationships, it happened twice tena kwa wanawake ambao niliwapenda kweli...it has never worked! Mkipeana space yaani ndio uanze, kama unafikiria you will get a second break sahau! Atleast from my experience...bora uteme tu mzigo ujue moja, uumie, uugulie, upone, maisha yaendelee...kuliko kubaki na matumaini labda something good will come..and never will, unaumia kimoyomoyo tu kila siku tu...a coward die 1000 times, but a soldier die once (Tupac Shakur)!


Aksante studio.
 
Pole ndo midume hiyo. Atakuwa kapata kitu huyo, wewe mchunie tu mpe hi kama kawaida na mkubari tu akufanyie anayokufanyia now. Wewe akienda job msms TAKE CARE! Na akiwa anatoka job do the same. Hpe atakuwa anajishitukia na atagundua anafanya makosa

Yaani awe anamtumie sms za take care, mara I luv U. Mara I miss U. Hapana NO! Hapo ndo atazidi kuchoka, hebu tueleze vizuri, amekuambia maneno haya kwamba unamchosha kwa usiku huu tu, au anamaanisha uwepo wako kila wakati, kila siku unamchosha. Kwa kweli kama ni kila wakati jua hauna chako hapo. Kama ni kwa usiku huu tu basi labda ana mambo yake mengine, mpe muda atarudi tu kwenye mstari. Sijui kama wewe hali kama hiyo ilishawahi kukukuta, yaani haujisiki kuongea na mtu wa aina yeyote hata mtoto wako mpendwa, mama, baba, kaka, dada, rafiki, unataka ukae mwenyewe peke yako, labda na yeye ndicho kilichokuwa kimemtokea kwa usiku huu. Pole sana, mapenzi ni kizungu zungu maana huwezi jua moyo wa mwenzio kama ndo anamaanisha kukuchoka kabisa au ni kwa muda huo tu.
 
ni matatizo ya ndoa za watu wenye umri wa miaka ya 40s
kila mtu ni mbabe,
na kila mmoja ana mega /megwa nje,
vumilianeni tu yatakwisha.
ngoja nikalale mweee
mi hii kitu ndoa bado nipo nipo kwanza
 
Fanya pitio la mwenendo wa tabia zako....huenda tabia zako ni kweli zimebadilika na hujatambua hilo. labda kuna mambo mengi huyafanyi kwa umakini na hayamridhidhishi mwenza wako, cha msingi ni kukalisha chini na kuongea kwa utaratibu akueleze ni kitu gani unamkwaza.....Ondoa hisia potofu za nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom