DUTERTE: Huwa Navuta Bangi Ili Nisilale

DUTERTE: Huwa Navuta Bangi Ili Nisilale

Na mimi nimeweka ushahidi mtoto alivyobakwa na shekhe

Sheikh mmoja au walili au hata watatu,lakin
Kwa Makafiri sio mtu mmoja mmoja ni Kanisa, ona papa anavyohangaika kuomba radhi kila mara
 
Bora yule anayejua kuna tatizo akatafuta namna ya kulitafuta kuliko yule anayejua kuna tatizo lakin akakaa kimya au kujifanya yeye ni msafi kumbe kila siku kulawiti watoto wadogo
 
Sio Durtele ila kabakwa na kiongozi wa dini
Duterte mwanamme na mapadre wanaume.

Huyo binti wa miaka 17 alibambikiwa ustadh ili amuoe. Kiislam binti mkubwa aliyekwisha vunja ungo hapaswi kuwachwa na ustadh.

Sasa Duterte je?
 
Bora yule anayejua kuna tatizo akatafuta namna ya kulitafuta kuliko yule anayejua kuna tatizo lakin akakaa kimya au kujifanya yeye ni msafi kumbe kila siku kulawiti watoto wadogo
Kweli kabisa. Kesi hizo kanisa katoliki ni nyingi mno mpaka Umoja wa Mataifa (UN) wamepiga kelele. Na sisi tusinyamaze tufichuwe kila tunapoweza.

Unafahamu kuwa hata Tanzania haijasalimika? Kuna padre wa kizungu ameharibu shule nzima kwa kufanya ushoga na wanafunzi. Tusinyamaze, soma...

He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Huyu alikiri kuwa mapadre wa kanisa katoliki walimfanya kibaya utotoni: Philippines president reveals he was abused by priest as a child
Bila kuongea udini hua hujiskii amani
Faiza Foxy bora hata hao wakatoliki, wanakiri mapungufu walionayo ya kibinaadamu ktk mfumo wao wa ibada. Kule madrasa watoto wanashughulikiwa na ni marufuku kusema wala kukemea . Hizi Imani za majahazi zisikutoe ufahamu. Baki kuwa muungwana na itakuweka huru.

Durtete ameua watu wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya. Hapaswi kufanya matani ya aina hiyo. Kiongozi mzuri ni yule anayechunga ndimi zake. Kwa nchi zingine kauli ya kiongozi ni sheria. Kwetu hapa, tumewahi kuwa na kauli tata, na baadaye kesho yake kiongozi wa chini, anajitokeza kusema kuwa ilikuwa ni matani .
VIONGOZI WACHUNGE NDIMI ZAO.
 
Duterte mwanamme na mapadre wanaume.

Huyo binti wa miaka 17 alibambikiwa ustadh ili amuoe. Kiislam binti mkubwa aliyekwisha vunja ungo hapaswi kuwachwa na ustadh.

Sasa Duterte je?
Uchafu ni uchafu tu. Huwezi halalisha ufuska wa aina yoyote kwa Kiongozi wa kiimani wala wa kijamii
 
Faiza Foxy bora hata hao wakatoliki, wanakiri mapungufu walionayo ya kibinaadamu ktk mfumo wao wa ibada. Kule madrasa watoto wanashughulikiwa na ni marufuku kusema wala kukemea . Hizi Imani za majahazi zisikutoe ufahamu. Baki kuwa muungwana na itakuweka huru.

Durtete ameua watu wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya. Hapaswi kufanya matani ya aina hiyo. Kiongozi mzuri ni yule anayechunga ndimi zake. Kwa nchi zingine kauli ya kiongozi ni sheria. Kwetu hapa, tumewahi kuwa na kauli tata, na baadaye kesho yake kiongozi wa chini, anajitokeza kusema kuwa ilikuwa ni matani .
VIONGOZI WACHUNGE NDIMI ZAO.

Tatizo ndani ya kanisa katoliki (licha ya mengine) ni kubwa sana, usitetee maovu. Soma mapadri 4000 wameharibu watoto, mapadri 4000 waliostukiwa, duniani wangapi hawajastukiwa?

Halafu leo tunashangaa ushoga kuzagaa duniani na chanzo tunakijuwa...

Sex abuse and the Catholic Church

Hata kama ni muumini wa kanisa hilo usitetee huu uozo. Au ni mmoja wa hayo?
 
Mimi si mkatoliki ni msabato . Lakini naogopa kushambuliana kiimani. Tatizo la Ushoga , Usagaji & Ubasha vyote hivi ni janga kwa ulimwengu tangu enzi za akina Sodom na Gomorrah na kulimaliza ni ngumu, kwa sababu wanaadamu wamekengeuka. Pili haya mambo ya haki za binaadamu ni kikwazo ktk kutaka kulimaliza tatizo lenyewe.
 
Tatizo litakwisha vipi ikiwa kanisa kubwa duniani ndiyo chanzo kikuu cha tatizo na sisi mnataka tunyamaze?

Ni lazima wote tulitangaze tulioneshe na tulikemee bila kuoneana haya wala kujali kusemwa na wasiopenda mema.

Tukikaa kimya ina maana tumekubaliana nalo.

Soma...

There is something endemic in the Catholic Church which lends itself to sexual abuse.
 
Back
Top Bottom