bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,766
- 24,625
Tatizo litakwisha vipi ikiwa kanisa kubwa duniani ndiyo chanzo kikuu cha tatizo na sisi mnataka tunyamaze?
Ni lazima wote tulitangaze tulioneshe na tulikemee bila kuoneana haya wala kujali kusemwa na wasiopenda mema.
Tukikaa kimya ina maana tumekubaliana nalo.
Soma...
There is something endemic in the Catholic Church which lends itself to sexual abuse.
Hizo nguvu na mda unazotumia kufutilia imani ya wengine ungewekeza kwenye imani yako ungefika mbali sanaTatizo ndani ya kanisa katoliki (licha ya mengine) ni kubwa sana, usitetee maovu. Soma mapadri 4000 wameharibu watoto, mapadri 4000 waliostukiwa, duniani wangapi hawajastukiwa?
Halafu leo tunashangaa ushoga kuzagaa duniani na chanzo tunakijuwa...
Sex abuse and the Catholic Church
Hata kama ni muumini wa kanisa hilo usitetee huu uozo. Au ni mmoja wa hayo?