Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
- Thread starter
-
- #41
Naomba tu nicheke maana kumbe tatizo liko serious hivyo hadi kila mwezi unafanya vipimo,kwa nini msimwone daktari?maana huo ukuaji hadi mwakani sijui litakuwa limefikia wapi
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.
Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.
Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.
Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.
Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.
Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.
Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.
Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?
Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???
Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!
Papuchi yakike huwa inaongezeka pia siku zinavyokwenda kwahyo usiogope!chamuhmu mfanye kwa siku hata mara 3 ili yako nayo iwekubwa
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sasa utazaaje mtoto kama unaogopa dushelele au unategemea operation ......:love:
isije kuwa unajifanya unavumilia mara kitu kikatokea mdomoni siku moja bure.
Nendeni hospitali mkamuaone daktari pengine kuna shida, why dushelele likue kila siku?
mwambie pia akutayarishe vya kutosha...huwaga inauma siku za mwanzo...ila yeye sio mind reader mwelezee ukishikwa wapi unagenyeka na km unampenda unatamani awe baba watoto wako,weka haya mawazo ya kumuacha pembeni,unasema yuko frustrated sio kwa dudu kuwa kubwa but FEAR OF LOOSING YOU,,,,cha kufanya usimnag kuwa haijaingia vizuri/hajakufanya ipasavyo .......mpe sifa za uongo ,mkifanya mara nyingi nani yako itazoea inapita mtoto ndio itakuwa dushelele.......
Wapi Nimesema Naogopa Kuzaa?? Kuzaa Kwangu Sio Tatizo, Bali Ukuwaji Wa Dushelele Lake Ndio Hofu Yangu, Jiulize Kama Itaendelea Kukua Kwa Mwaka Mzima, Mambo Yatakuwaje?
Unatakiwa kua mkweli mbele ya jamii yako, waambie Dushelele ya huyo jamaa ni kubwa na kwamba inakumiiza mnapo kua kwenye game, pia unachoogopa zaidi kadri siku zinavyo kwenda ndio linazidi kua kubwa. Au unaonaje>
yuP!Kama Uliingia Kichwani Mwangu Vile, Wiki Ijayo Naenda Songea, Ndio Kwa Mashangazi Zangu Walipo.
Nahofia Kuwa Papuchi Haikui Bali Ni Elastic(inavutika), lakini lile dude linaongezeka urefu na upana.
KUNA KUZOEA HAPO?