Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Aisee?....bado nafikiria how is it possible, kama kila mwezi inaongezeka 2.0cm unamaana miezi sita ana 12.0 CM? ukijumlisha labda na zakwake ulizomkuta nazo mwanzo mfano 5 hivi, kwa hiyo unanimbia sasa ivi unacheza na mashine yenye 17.0Cm? achilia upana wa 0.3 kwa mwezi. Hivi unajua urefu wa rula ni 30.0CM? ebu chukua rula alafu itafute hiyo 17.0CM iko wapi.......aisee pole dada....inaonyesa na wewe uko vizuri huko chini....umetisha.

hahahahahahahaha kwakwakwakwakwa khaaaa aaaah aloo umenichekesha sana
 
Ukisoma vizuri ni kama nimekuambia usimwache maana kama umevumilia mpaka 17.0 CM ,nendeni kwa doctor ili awashauri...ukimwacha itakuchukua mda mpaka umpate wa ukubwa huo tena.....wengi wetu ni vibamia kama mnavyo tuitaga.

si eti eeh, kitu anajipimia mwenyewe' akitaka leo aingize sm 2.5, (kichwa tu) kesho yake aingize mpaka igonge kidevu ni yeye tu. Some people are just lucky!
 
si eti eeh, kitu anajipimia mwenyewe' akitaka leo aingize sm 2.5, (kichwa tu) kesho yake aingize mpaka igonge kidevu ni yeye tu. Some people are just lucky!

Kwa raha zake.........akija huku kwetu tutakua tunampandisha genye tu na vibamia vyetu.....mwache achezee habati.....au kama vipi aweke namba zake hapa jamvini aone wenzake watavyo mrukia.
 
Tatizo ni kuanza ngono kabla ya ndoa, basi. Mngevumiliana mpaka siku ya ndoa haya yote ya kuongezeka usingeyajua. Ndio maana zamani ilikuwa marufuku kuonja kabla ya kufunga ndoa.Ni mtazamo wangu tu
 
yaan 30mm (3cm) na upana wa 3mm aaah dada yangu sema huyo jamaa humtaki tu hiyo ni delta increment tu
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..
 
HEe ina maana kwa masayantist iyo ina vary directly propotional with time.Nendeni mkatumie dawa za kichina yeye za kupunguza wewe za kuongeza...Kwani kama ni kweli ilo tatizo lipo ni serious issue ulitakiwa ukaa dress kwa dr na siyo kulileta hapa!



Nimeileta Hapa, ili nipate mawazo, ushauri, na experience ya watu wengine juu ya tatizo hili... KIUKWELI, Bado Naendelea Na Hatua Mbali Mbali ikiwemo kwenda hosptl... NAWAAHIDI, THREAD hii, nitailetea FEEDBACK yake, ili kwa pamoja TUJIFUNZE.
 
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..

Grace Komba,
Kama mlikuwa na huyo mupenzi wako kwa mwaka mzima, mnagegedana, na kama inaongezeka 1.3 - 2 cm [kwa mwezi] inamaanisha itakuwa ineongezeka 15.6 - 24 cm [kwa mwaka -yaani nusu rula -ile kubwa hadi robo tatu] huo urefu changanya na urefu wa awali [uliomkuta nao] unaweza kabisa ukawa ni urefu zaidi ya wa rula. Inawezekana kabisa alijaribu kutumia za kuenlarge ambazo formula haijakamilika sasa no turning back [naturally] inabidi muonane na madaktari [ ili umsaidie, asije akawakosa kinadada, maaana wengi wenu hampendi kuzima taa mkishughulika].
Swali la Kizushi: Linakuumiza wakati wote au nje ndani zikiwa nyingi unalizoea ???
Kama unampenda sana then Think of Enlarging yours ...
 
kaazi kwelikweli.Nakuuliza hivi wee dadaaa..huyo jamaa yako si mwanachama wa JF ili atoboe siri ya huo mguu wa Ntoto unaozidi kukua chanzo chake nini ili ujue pa kuanzia?Kwani ukijua chanzo chake tiba ni rahisi kwani mtapata pa kuanzia.
 
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.

Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.

Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.

Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.

Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.

Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.

Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.

Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?

Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???

Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!

Wapi Madame B..?
 
Unatakiwa kua mkweli mbele ya jamii yako, waambie Dushelele ya huyo jamaa ni kubwa na kwamba inakumiiza mnapo kua kwenye game, pia unachoogopa zaidi kadri siku zinavyo kwenda ndio linazidi kua kubwa. Au unaonaje>

Akiwaeleza hivyo watajua wameonja tunda kabla ya ndoa, litakiwa timbwili jingine
 
Au ipo siku kitu kama hiki kinaweza kutokea lol...

pic390.jpg

Ha ha ha.Umenichekesha sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom