Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Katika battleground state, Trump anaongoza zote

Kitu kinachowasumbua Dem si battleground, bali blue state ambazo sasa ni battleground

Kwa maana kuwa hesabu zao zilikuwa kuzuia battleground state moja, sasa mchezo upo katika nusu ya uwanja kwa upande wao.

More path kwa Trump kufikia 270
 
Katika maeneo ya Republican (county) Trump anashinda kuliko Romney na McCain hili nalo linapelekea nervousness kwa upande wa Democrat
 
Kwa kiwango cha kura (tofauti) ni dhahiri, hapa ni kwa maoni bado hakujatangazwa, kuwa Florida na Ohio zitakwenda kwa Trump. Kama tulivyosema Ohio na Iowa zina ufanano.
Matokeo bado, hii ni kwa kupitia namba
 
87% ya kura Viginia Clinton anaongoza kwa 55,000. Tunasema hili kwasababu hii ni blue kwa wakati huu na Trump alikuwa anachezea uwanja huo. Pengine ndiyo good news kwa Dem so far
 
Namuona kwa mbali Ben Carson kama US foreign secretary !!!
=====
Hivi issue ya machine ya kupigia kura kumpendelea HRC hata kama umemchagua Trump, siyo big news kweli? Hii imetokea Penn State
 
Kwanini Democrat wana hofu? mtazamo wetu binafsi

Michigan ni blue state hii ilipaswa iwe kibindoni. Kwasasa Trump anaongoza na inafungua milango

Wisconsin ni blue state, ilipaswa kuwa kibindoni, kwasasa ni tight race

Pennyslavania Dem wanafanya vema ni hiyo ingekuwa kikwazo kama Michigana na Wisconsin zisingekuwa katika maongezi

Kwa mtazamo wetu( hakuna matokeo), NC, FL Trump atashinda
Katika battleground state atashinda FL, NC, Ohio. Michigan na Wisconsin zinafungua njia kwake
 
Trump ameshinda Idaho

Clinton ameshinda California na Hawaii blue state
 
Trump has won Florida, now he leads by 197 against 131 of 'Mama'.
=RT.com
Hapana usiangalie EV namna hii. Tunajua kuna red na blue state. Kwasasa utaona Clinton ana EV 190. Ndiyo maana tunazungumzia blue na red state na battle ground kila tunapoleta matokeo

Muhimu hapa ni battleground state
 
Pennsylvania inaweza(hatuna matokeo) kwa Clinton

Hapa ndipo tulipo
Trump: FL, OH, NC

Kama ingalikuwa blue state zimebaki kama zilivyo, Clinton angekuwa na nafasi

Kwasasa, mchezo umehamia Michigan na Wisconsin ambako ni blue state. Big trouble kwa Dem

Haya ni maoni , tunafuatilia matokeo
 
Clinton ameshinda Oregon blue state

Trump amepata EV 3 Nebraska, hii ni congressional district na Clinton amepata 2
 
FL, kama mtakumbuka mabandiko ya nyuma (uzi nwingine) tuliuliza maswali kuhusu Latinos
Kwamba explosions ilieleza nini?
 
Back
Top Bottom