Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Hadi sasa hatuna matokeo ya battleground state

Kwasasa FL ni back and forth ndiyo maana tunafuatilia
 
FL ni battleground na ni back and forth, naomba wafuatiliaji watuelewe.
Kila dakika inabadilika kutokana na matokeo yanavyopokelewa
 
FL,NC,NH,OH,PA,VA Too early to call according to CNN
 
Katika battleground satet mchuano ni mkubwa na Mkali, as of now Trump ana advantage
Tunarudia ana advantage na matokeo bado yanapokelewa, kuna back and forth
 
Democrat wapo nervous kwasababu state kama Viginia na Michigan zilipaswa kuwa zimetangazwa kwa kuwa ''blue' state hasa Michigan.

Hii maana yake, wanatakiwa washinde hizo mbili na wabane battle ground state moja
 
Back
Top Bottom