TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Halafu mnataka Rais wetu hapa JMT ashitakiwe...! Tuna matatizo gani ?Kwa taratibu za DOJ Rais akiwa madarakani hawezi kushtakiwa
DOJ wanasema hata kwa mtu asiyeshtakiwa ni makosa kumtaja kwa mujibu wa sheria zao