Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata

Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata

Nenda kimara korogwe kuna kanisa wanapaita kwa mastay kkt watu wanapona cancer easy tu if una imani iyo iskusumbue ila kwa hospital itakusumbua na kukutia tu hofu bure
 
Matibabu pale ocean road naambiwa ni kama bure vile!
Sina uhakika.
Pole kwa mtihani unaokukabili.
Hata wajawazito unaambiwa matibabu ni bure, lakini kawauliza je ni bure kweli?
Hata elimu tunaambiwa ni bure je kawaulize wanaosomesha watoto saint kayumba ni bure kweli?
 
Hata wajawazito unaambiwa matibabu ni bure, lakini kawauliza je ni bure kweli?
Hata elimu tunaambiwa ni bure je kawaulize wanaosomesha watoto saint kayumba ni bure kweli?
Kwa kuongezea vipambanuzi ulivyoorodhesha.
Hata Barrick wamesema watatupa dolari 300M. Kawaulize acacia wameridhia?

Dah! Mlolingo ni mrefu.
Tujipange tumsaidie huyu ndugu akifanikiwa kuweka viambatanisho ili kuweka "good will"
Tontoni katuachia msamiati murua.
 
Pole sana, mungu akusaidie na kukuponya. Mimi nipo tayari kukuchangia hela ya matibabu na pia kukuombea mchango from my coworkers, kama hutojali kuweka wazi vielelezo vitavyosaidia kuthibitisha ukweli wa hii habari. eg. makaratasi ya huko hospitali ocean road re: the diagnosis and required treatment
Na mimi ntashiliki endapo ukiweka hivyo vielelezo alivyosema Nemo.
 
Mkuu kama ugonjwa hauna noma ....weka hzo verified docoment ili watu watu wakusaidia kaka....
 
Pole sana ndugu, nakishauri pia ufike clouds pale mikocheni nadhani hili likifika kwa watu wengi zaidi utapata msaada mkubwa zaidi. Kuna kipindi chao cha njiapanda wengi wanapata msaada.
 
Pole sana , jiunge kwenye kikundi kisha kata bima ya afya NHIF kwa gharama ya 76,500
 
Utapata matibabu vizuri kabisa kwa kutumia bima ya afya kwa hiyo 76,500 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom