Duniani kuna mambo, maiti ampa mimba mfanyakazi wa muchuari

Mkuu, hakuna ajabu hapo!
Mbona hata huku uswazi ipo! hasa hasa kwa imani yako! Utasikia tokeni marehemu anataka kumuaga mkewe! Wee ndio unaona ajabu? Au!

Daaaah, ngoja niende kupata kahawa kwanza!

Uko njema Mkuu?
 
Japo BBC watuambia hilo suala ni la kweli na mambo mengi wanayoripoti ktk kindi cha kisa na mkasa niyakweli ila kwahi nakuwa na wasiwasi mkubwa na sidhani kama nitaamini
 
Daaaah, ngoja niende kupata kahawa kwanza!

Uko njema Mkuu?

Mkuu, alhamdulilaah.
Heri ya mwaka mpya, kwema lakini? umenusurika na mafuriko?
mbona umesusa anga zetu!
Karibu kigogo sambusa, mbuzi Katoliki ya kumwaga.
 
duniani kuna watu hamnazo sana, yaani hamjui mambo mengi yanayoendelea duniani as if mnaishi mwezini. Hiyo maneno ni kweli kabisa muwe mnasikiliza redio na kuangalia tv jamani, sio kuamka mtu hujui hata kinachoendelea duniani. Hiyo maneno imeongelewa sana, na kama ungekuwa mfuatiliaji mzur wa habari, ungeweza hata jana kuisikia bbc-Salim Kikeke aliiongelea kwa uzir tu jana

Umeme wa kuangalizia hizo TV uko wapi?
 
110726000700_spmorgue_304x171_bbc_nocredit.jpg


mwanamama mmoja nchini marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo linadhaniwa kutokea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha mourning glory, nje ya lexington, missouri. polisi wa mjini humo wamemshtaki mama huyo aitwaye felicity marmaduke kwa kosa la kunajisi na kuchezea maiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi, kiungo cha kiume cha mwili wa mtu aliyekufa kilihamasika wakati mwili ukioshwa. Taarifa zinasema, kwa kuwa mwanamama huyo alikuwa peke yake, aliamua kujamiiana na mwili huo.

kwa mshangao hata wa mwanamama huyo, maiti huyo alitoa mbegu za kiume. Wiki chache baadaye bi marmaduke alijikuta ni mja mzito. Baada ya kumwambia daktari wake mfululizo wa matukio, daktari huyo aliwataarifu polisi.
bi marmaduke alikamatwa na polisi akiwa nyumabni kwake, si mbali sana na mochuari anayofanyia kazi. Katika tukio la kushangaza zaidi, mwanamama huyo amesema anapanga kudai urithi kutoka kwa familia ya mtu huyo aliyekufa.


hii ni kali sana. Yaani tumeanza mwaka kwa matukio ya ajabu sana.
 
Nawapenda waislam kutoka rohoni kwa kuwa maiti zao wanazisetri siku hiyo ya kifo. wakristo tunakaa na maiti hadi unaenda kubakwa ukiwa mfu. looh.
 
nachojua ni mwanaume kumwingilia mwanamke hata akiwa marehemu. Hii ya uume wa marehemu kusimama ni mupya!
 
This is a debunked old hoax. Don't just gobble up and pass along everything you read online.
 
Back
Top Bottom