Kwanini mnahide tusi ?Tarehe 29 CCM ambavyo wanasifa watajaza wanajeshi barabarani *****. Hii nchi kazi ipo
Kutangaza maandamano miezi miwili mitatu mbele ni chaka tu la kuwapoteza watanzania ambao kweli wana machungu.Shida hata si kupanga. Ni utayari wa watu. Wakitoka watu laki wasimamishe jiji hata kama walipanga mwaka mzima serikali itafanya nini?
Shida ni utayari wa watu kujitokeza kwa wingi.
Hakuna njia yoyote serikali inaweza kujiami kuwazuia Watu wakitoka kwa maelfu ya maelfu. Wataomba poo wenyewe.
Kama hiyo njia ingekuwepo basi mikutano ya CCM isingejaa matamko kuhusu kuandamana, wala jeshi lisingekuwa lina angaika kuwatisha watu. Pona yao na maombi yao ni kuwa watoke wachache, kukosekane muitikio. Vinginevyo haichukui hata masaa matano Samia atakimbia na Helkopta kuelekea Oman.
HAIPO SERIKALI YA KUSHINDANA NA SAUTI YA UMMA. HAIPO!
Kama kutangaza miezi miwili kabla ni kutishia nyau, Ni nani Kati ya dola na waandamanaji kaonesha kutishika mpaka sasa? 😆Kutangaza maandamano miezi miwili mitatu mbele ni chaka tu la kuwapoteza watanzania ambao kweli wana machungu.
Hauwezi na ni dalili za kukosa hekima na maarifa kutishia nyau utawala ambao umeonyesha wazi uko tayari kufanya lolote kunyamazisha watu.
Ndiyo point yangu ipo hapo. Fikiria kauli yako kwa mapana utaelewa ninachotaka kusema kimo humo humo kwenye kauli yako.Kama kutangaza miezi miwili kabla ni kutishia nyau, Ni nani Kati ya dola na waandamanaji kaonesha kutishika mpaka sasa? 😆
Hapana mkuu!Ndiyo point yangu ipo hapo. Fikiria kauli yako kwa mapana utaelewa ninachotaka kusema kimo humo humo kwenye kauli yako.
Huo utayari uko pande zote mbili. Unapowapa miezi miwili mitatu na wao wanajipanga. Ndiyo wanawaletea kina Tesha na nyie mkajaa mazima. Miezi miwili hii ndiyo imepelekea mikakati ambayo mingine mnaiona inafanyika wazi na mengine inaendelea kwa siri kuhakikisha hayo maandamano hayatokei.Hapana mkuu!
Wewe unadai kwamba kufeli kwa maandamano ni pamoja na kuyatangaza miezi miwili kabla.
Mimi nadai yakwamba kufeli kwa maandamano ni watu kukosa utayari. Si suala la kutangaza muda wa miezi miwili kabla. Maana wakitoka watu laki 2 na kusimama pamoja serikali ita freeze tu hata kama walikuwa wamejiandaa kwa namna yoyote.
Maandamano ya Bangladesh ya 2024 yalianza kwa kupangwa tarehe kama maandamano ya amani ya wanafunzi wa vyuo. Baadae raia nao wakajoin, ikaripuka na Bi Hasna akakimbilia India.
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?
Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.
Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na hisia za watu kupungua?
Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.
Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Mnatoa mifano ya maandamano yasiyo na uzito sawa na hayo yanayoongelewa. Hata Farakhan alipeleka watu milioni 1 Washington DC na hakuna aliyemzuia...maandamano kama ya Wamaasai wa Ngorongoro?
..au maandamano ya mapokezi ya Tundu Lissu alivyorejea mara ya kwanza toka kwenye matibabu?
Mnatoa mifano ya maandamano yasiyo na uzito sawa na hayo yanayoongelewa. Hata Farakhan alipeleka watu milioni 1 Washington DC na hakuna aliyemzuia.