Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

Maandamano yaliyopangwa ni ya kipuuzi. Sababu za maandamano ni nyingi zisizoeleweka kiasi kwamba ukizisoma hadi uzimalize tayari umesahau sababu ya kwanza. Wapinzani angalau wangekuwa na akili wangesimama na sababu moja nzito inayoeleweka. Haiwezekani mtu unasema sababu ni kupinga utekaji mara hapohapo sababu nyingine ni kuitoa CCM madarakani na ghafla sababu inaibuka kutaka reforms za uchaguzi. Yaani ujinga mtupu. Hawajui wanataka kuandamana kwa sababu gani.
 
..mapokezi ya Lissu, na maandamano ya Ngorongoro, ndio maandamano makubwa yaliyofanyika katika awamu ya 5, na awamu ya 6. Hoja yangu ni kwamba maandamano Tanzania yanawezekana.
Unalinganisha maandamano ya kudai Lissu (ambaye yupo katikati ya kesi ya uhaini) aachiwe huru na maandamano ya kumpokea airport baada ya kutoka kwenye matibabu?
 
..maandamano ya kumpokea Lissu yalipigwa marufuku na Polisi. Pamoja na katazo la Polisi, wananchi walijitokeza kwa wingi, na kutoka kila sehemu, kuelekea uwanja wa ndege, hivyo Polisi wakalazimika kughairi kuyasambaratisha.

..kitu ambacho naamini kilikuwa ni msaada kwa waandamanaji ni kwamba Polisi walipigwa ganzi kuhusu namna ya kutofautisha nani alikuwa anakwenda uwanja wa ndege kumpokea Lissu, na nani alikuwa anakwenda kwa malengo mengine.

..somo nililotaka watu wajifunze ni kwamba ni muhimu kuchagua eneo la kimkakati litakalopelekea ugumu kwa Polisi kusambaratisha maandamano.

..Pia eneo wanapoandamana au kukusanyika ni lazima liwe eneo ambalo litawalazimu watawala na Polisi kuwa wapole.

..Wamaasai walichagua gate la kuingia Ngorongoro na serikali wangejifanya kiburi wangeingia hasara kubwa.
 
Bado uzito wa matukio haufanani kabisa. Nashangaa sana ninapoona watu wanachukulia tukio la kutaka kuiangusha CCM kama jambo jepesi au lisilo na uzito mkubwa. Kuiondoa CCM kuna "major geo-political implications" achilia mbali implications za ndani ya nchi. CCM haiwezi kuondoka hivi aisee.

By the way, maandamano ya wamasai yalikuwa ni ya kudai nini na yalibadilisha nini? Nauliza kwa sababu sifahamu.
 
Kwa wenye vichwa viguku tu

Kitendo cha taarifa za maandamano kutolewa miezi miwili kabla hasa kwa Tanzania nikitendo chakimkakati sana na aliyekiratibu anaonekana siyo tu anaujua Tanzania na watanzania wake kwa kiwango cha hali ya juu sana ,unajua ni kwanini?

1. Watanzania wengi hawajazoea vurugu na hivyo ni watu wenye mioyoni yenye baridi sana so kuwafanya wawe chai nilazima uwapike kwa muda mrefu

2. Lengo la pili nikuhakikisha wanawaondoa CCM kwenye njia , hili kila mmoja ni shuhuda , wewe unaona campaign za mwaka huu zimefanyika kwa viwango vile ? Full mipasho badala ya kuuza sera 🤣 wanafiiia hadi kukodisha wa Mexico huko kinyume na miaka mingine huwa wanasimamaga watanzania halisi kuisemea serikali iliyopo madarakani ila mwaka huu diaspora wote wapo side B which is very bad sign kwa upande wa watawala.

3 Tatu na kwakuhitimisha , lengo la kutoa muda mrefu halikuwa na pengine halitupendezi wengi kuona serikali na Taifa letu likiingia kwenye machafuko , sasa unaweza unajiuliza ,ikiwa hivyo ndivyo sasa nini msingi wa kuratibuwa kwa hayo maandamano ? Swali zuri ,jibu lilikuwa nikuitishia serikali na kwakuwa muda uliwekwa mkubwa ili itengeneze uwezekano wa meza ya duara , serikali ilete hoja ya majadiliano itakayojikuta kwenye kutengeneza umoja wakitaifa .

So nini kitatokea ikiwa serikali itajifanya inaendelea kuweka pamba masikioni?

CCM itakuwa imejitambulisha kama adui rasmi hivyo watakuwa wamezipa sababu taasisi nyingi kuamua kuingilia kati kwa kuwa upande wa watawaliwa.

Ikiwa itafikia hatua hiyo ,amini nakwambia , CCM inakwenda kuondoka madarakani ndani ya masaa machache baada ya jamii kuingia barabarani maana pressure itakuwa ni kubwa kuliko matarajio .

Ondoa hofu kuhusu matishio ya askari hao unaosikilizishwa sauti zao , hao wenyewe washalegea na ukweli wanaujua .

Achana na mikwara ya Jeshi , hakuna pale mwenye uwezo wa kukomaa na chama corrupt kama CCM ,kwa wasiyojua hiyo fursa inatamaniwa na Jeshi kuliko wewe na mimi tunavyodhani .

Kisa walilolifanya serikali ya CCM nikuwaonjesha pesa wanajeshi wa ngazi za juu ,kitendo hicho kinatoa tafasiri kuwa sasa niwakati wetu wakujichotea badala ya kusubiri kuchotewa ,hivyo ni sawa na mkulima kumpa paka panya mwenye chumvi .

Nikuhakikishie tu , siku ikitokea watanzania wametoka ,CCM wajue rasmi washapoteza mamlaka ,maana hapo CDF atagawanya kikosi mara nne
1. Kikosi cha watetezi
2. kikosi cha usuruhishi bandia .
Kikosi cha kuongoza watawaliwa kugusa maeneo yatakayoilazimisha serikali ijisalimishe .
4 na Kikosi cha mwishonikile kitakacho torosha viongozi

Then game over
 
Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.
Nami kabla sijapoteza muda kusoma hayo yaliyo huko chini, nilitegemea kuona mapendekezo yako jinsi/namna ya kuyakomesha haya tusiyo yapenda wewe na mimi.
Hilo lingekuwa jambo jema zaidi kupotezea muda kulisoma kwa makini..

Sasa sijui huko chini kuna nini, lakini kutokana na kichwa cha mada sina hamu ya kuendelea huko.

Kwa wewe kutojuwa kuwa kuna maandamano kama yanavyotegemewa kuwepo Tanzania; hilo halikufanyi kuwa mtaalam wa kila aina ya maandamano duniani.

Sasa kaa hapo pembeni uone waTanzania wakifanya kweli yao.
Wewe ni mtu wa kulipwa vipesa kidogo tu ili uje hapa kuchanganya akili za watu. Safari hii hawafanikiwi.
 
..maandamano kama ya Wamaasai wa Ngorongoro?

..au maandamano ya mapokezi ya Tundu Lissu alivyorejea mara ya kwanza toka kwenye matibabu?
Niseme tu kwa ufupi kwa sasa hivi: hii mifano miwili, pamoja na kuwa kielelezo kizuri; lakini haifikii katika huu tunaoelekea kuufanya kama taifa; hapo Oktoba 29 au hata kabla na baada ya tarehe hiyo.

Haya ni maandamano maalum; ya kipekeee kabisa; tena yanayotokea wakati sahihi kabisa.
Hizi ni motisha za kutosha kufanya maandamano yenye tija kubwa kwa taifa letu.

Haya ni maandamano ya kipekee, huwezi kuyalinganisha na aina nyingine yoyote ya maandamano.

Na muhimu zaidi, usisahau. HAYA NI MAANDAMANO YA NCHI NZIMA.

Siyo maandamano ya Dar; Mwanza; Mbeya; Arusha; Dodoma pekee, ni nchi nzima.
 
Shida hata si kupanga. Ni utayari wa watu. Wakitoka watu laki wasimamishe jiji hata kama walipanga mwaka mzima serikali itafanya nini?

Shida ni utayari wa watu kujitokeza kwa wingi.

Hakuna njia yoyote serikali inaweza kujiami kuwazuia Watu wakitoka kwa maelfu ya maelfu. Wataomba poo wenyewe.

Kama hiyo njia ingekuwepo basi mikutano ya CCM isingejaa matamko kuhusu kuandamana, wala jeshi lisingekuwa lina angaika kuwatisha watu. Pona yao na maombi yao ni kuwa watoke wachache, kukosekane muitikio. Vinginevyo haichukui hata masaa matano Samia atakimbia na Helkopta kuelekea Oman.

HAIPO SERIKALI YA KUSHINDANA NA SAUTI YA UMMA. HAIPO!
Samia aombe sana kwa mizimu yake; kwani hii nchi yenye raia milioni zaidi ya sitini; wakijitokeza milioni tano tu kati ya hao, nchi nzima; anafunga vilago.

Milioni tano waliojitoa kwelikweli kukataa upumbavu huu uliopo sasa wanatosha kabisa kubadilisha hali.
 
Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Sasa ilinilazimu kusoma hadi mwisho wa mada yako. Sasa nakuuliza wewe unajuaje wewe kuwa safari hii waTanzania hawataamua "kusimama wenyewe bila kutegemeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongozze"Hawa waTanzania umewashikilia mifukoni mwako?
 
Lema mwenyewe anabembeleza polisi wamuhifadhi. Haya nani ataandamana
 
Mutaindoaje serkali iliyopo madarakani takriban miaka 60+, bila ya kua na hoja inayo unganisha raia wote bila kujali itkadi zao?

Kwamfano maandamano haya yamebeba hoja zaidi ya mbili na kila mtu ana hoja yake.

1) Kuna wataoandamana kisa hawaitaki serkali ya CCM na Samia wake.

2) Kuna wataoandamana wakidai mabadiliko ya Katiba.

3) Kuna wataoandamana kupinga watu kutekwa na kupotezwa mazima na watu wasio julikana.

Kwahiyo ukiangalia hapo, kila mtu ataandambana akipambania jambo analo amini yeye, kiufupi hakuna umoja hapo.
 
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.

Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?

Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.

Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?

Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.

Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Natamani tuanze ya tarehe hiyo Kwa kushitukiza
 
Tunalaumu Bure! Tatizo ni kuwa hatuna chama ambacho tunaamini pasipo na shaka kuwa kikikabidhiwa nchi hakitakuwa mirror ya CCM. Ni akili kubwa kutofanya kitu ambacho hakina manufaa. Angalia kama Madagascar jamaa aliingia baada ya maamdamano, wengi walitegemea atawakomboa. Kuingia tu ni galegale na sasa wamemuondoa kwa maamdamano.

Kwa upande wangu naamini tungeanzia kudai mgombea huru. Ikikubalika huo ndiyo muarobaini, vyama vinabeba makokolo mengi.
 
Shida hata si kupanga. Ni utayari wa watu. Wakitoka watu laki wasimamishe jiji hata kama walipanga mwaka mzima serikali itafanya nini?

Shida ni utayari wa watu kujitokeza kwa wingi.

Hakuna njia yoyote serikali inaweza kujiami kuwazuia Watu wakitoka kwa maelfu ya maelfu. Wataomba poo wenyewe.

Kama hiyo njia ingekuwepo basi mikutano ya CCM isingejaa matamko kuhusu kuandamana, wala jeshi lisingekuwa lina angaika kuwatisha watu. Pona yao na maombi yao ni kuwa watoke wachache, kukosekane muitikio. Vinginevyo haichukui hata masaa matano Samia atakimbia na Helkopta kuelekea Oman.

HAIPO SERIKALI YA KUSHINDANA NA SAUTI YA UMMA. HAIPO!
Unajua jukumu kuu la jeshi la police hapa Tanzania? Ni kuzuia uhalifu. Kwa hiyo kinachifanyika kipo katika mstakbari huo. Kutishia ili maamdamano yasitokee
 
Lengo ni kuiweka ccm na serikali yake roho juu juu, ni kitisho tu itishike na imetishika. Kutishika ni hatua kuelekea kutikisika na kutikisika ni kuelekea kuanguka. Usichukulie poa kutishika kuna athari, maandamano yanaweza yasiwepo ila kitisho tayari kipo
 
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.

Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?

Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.

Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?

Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.

Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Kama hautaandamana sema kwa sababu nalidhishwa na uongozi wa CCM, naogopa virungu vya polisi au sijaridhshwa na organization ya maandamano mimi sitaandamana. Usijumuishe wengine kwenye maamuzi yako binafsi.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom