Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

Ndo maana mi nimekua nikiwaita Nyumbu watu wenye mawazo hayo ya kupanga tarehe flan eti ndo wataandamana, hapa kati kati zilitokea sahabu nyingi za hayo maandamano kuwepo ila hawajatumia hizo sababu kuandamana, Lissu tu kuwa mahabusu ilitosha kuwa sababu, watu kupotea ilitosha kuwa sababu, na sababu nzuri zaidi ilikua ni kupotea kwa polepole ila hakuna Nyumbu alietoka.

Kwahiyo nilichogundua hawa Nyumbu wameficha uoga wao kwenye tarehe ya mbali kwakua wanajijua ni waoga na hawana courage ya kuandamana, sasa kichaka cha tarehe ya mbali nacho kinakaribia kuisha utaona kama utaona mtu hata mmoja akiandamana.
 
Kwa wenye vichwa viguku tu

Kitendo cha taarifa za maandamano kutolewa miezi miwili kabla hasa kwa Tanzania nikitendo chakimkakati sana na aliyekiratibu anaonekana siyo tu anaujua Tanzania na watanzania wake kwa kiwango cha hali ya juu sana ,unajua ni kwanini?

1. Watanzania wengi hawajazoea vurugu na hivyo ni watu wenye mioyoni yenye baridi sana so kuwafanya wawe chai nilazima uwapike kwa muda mrefu

2. Lengo la pili nikuhakikisha wanawaondoa CCM kwenye njia , hili kila mmoja ni shuhuda , wewe unaona campaign za mwaka huu zimefanyika kwa viwango vile ? Full mipasho badala ya kuuza sera 🤣 wanafiiia hadi kukodisha wa Mexico huko kinyume na miaka mingine huwa wanasimamaga watanzania halisi kuisemea serikali iliyopo madarakani ila mwaka huu diaspora wote wapo side B which is very bad sign kwa upande wa watawala.

3 Tatu na kwakuhitimisha , lengo la kutoa muda mrefu halikuwa na pengine halitupendezi wengi kuona serikali na Taifa letu likiingia kwenye machafuko , sasa unaweza unajiuliza ,ikiwa hivyo ndivyo sasa nini msingi wa kuratibuwa kwa hayo maandamano ? Swali zuri ,jibu lilikuwa nikuitishia serikali na kwakuwa muda uliwekwa mkubwa ili itengeneze uwezekano wa meza ya duara , serikali ilete hoja ya majadiliano itakayojikuta kwenye kutengeneza umoja wakitaifa .

So nini kitatokea ikiwa serikali itajifanya inaendelea kuweka pamba masikioni?

CCM itakuwa imejitambulisha kama adui rasmi hivyo watakuwa wamezipa sababu taasisi nyingi kuamua kuingilia kati kwa kuwa upande wa watawaliwa.

Ikiwa itafikia hatua hiyo ,amini nakwambia , CCM inakwenda kuondoka madarakani ndani ya masaa machache baada ya jamii kuingia barabarani maana pressure itakuwa ni kubwa kuliko matarajio .

Ondoa hofu kuhusu matishio ya askari hao unaosikilizishwa sauti zao , hao wenyewe washalegea na ukweli wanaujua .

Achana na mikwara ya Jeshi , hakuna pale mwenye uwezo wa kukomaa na chama corrupt kama CCM ,kwa wasiyojua hiyo fursa inatamaniwa na Jeshi kuliko wewe na mimi tunavyodhani .

Kisa walilolifanya serikali ya CCM nikuwaonjesha pesa wanajeshi wa ngazi za juu ,kitendo hicho kinatoa tafasiri kuwa sasa niwakati wetu wakujichotea badala ya kusubiri kuchotewa ,hivyo ni sawa na mkulima kumpa paka panya mwenye chumvi .

Nikuhakikishie tu , siku ikitokea watanzania wametoka ,CCM wajue rasmi washapoteza mamlaka ,maana hapo CDF atagawanya kikosi mara nne
1. Kikosi cha watetezi
2. kikosi cha usuruhishi bandia .
Kikosi cha kuongoza watawaliwa kugusa maeneo yatakayoilazimisha serikali ijisalimishe .
4 na Kikosi cha mwishonikile kitakacho torosha viongozi

Then game over
Mkuu inawezekana upo na ubobevu kwenye mambo flani flani kwa namna ulivyochambua mgawanyo wa vikosi hapo juu, nimejikuta naogopa sana
 
Maandamano yaliyopangwa ni ya kipuuzi. Sababu za maandamano ni nyingi zisizoeleweka kiasi kwamba ukizisoma hadi uzimalize tayari umesahau sababu ya kwanza. Wapinzani angalau wangekuwa na akili wangesimama na sababu moja nzito inayoeleweka. Haiwezekani mtu unasema sababu ni kupinga utekaji mara hapohapo sababu nyingine ni kuitoa CCM madarakani na ghafla sababu inaibuka kutaka reforms za uchaguzi. Yaani ujinga mtupu. Hawajui wanataka kuandamana kwa sababu gani.
Maandamano sio ya wapinzani ni wananchi, wapinzani si wapo kwenye uchaguzi hao kina CHAUMMA?
 
Maandamano hayapo uwo ndo ukwer ila ata watu kujitokeza kupiga kura pia watatoka watu wachache sana kuringanisha na kipindi kingne

So inawezekana wasiandamane barabaran ila wakaandamana majumban kwao
 
Una hoja maandamano yanaenda a hisia unapanga maandamano siku flani ule ni utoto unampa mbinu adui yako kujipanga
 
Hapana mkuu!
Wewe unadai kwamba kufeli kwa maandamano ni pamoja na kuyatangaza miezi miwili kabla.

Mimi nadai yakwamba kufeli kwa maandamano ni watu kukosa utayari. Si suala la kutangaza muda wa miezi miwili kabla. Maana wakitoka watu laki 2 na kusimama pamoja serikali ita freeze tu hata kama walikuwa wamejiandaa kwa namna yoyote.

Maandamano ya Bangladesh ya 2024 yalianza kwa kupangwa tarehe kama maandamano ya amani ya wanafunzi wa vyuo. Baadae raia nao wakajoin, ikaripuka na Bi Hasna akakimbilia India.
Exactly 💯
Sijui watucwanapata shida gani kila siku kuanzisha nyuzi kuhusu maandamano
 
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo.

Hauwezi kutangaza takribani miezi miwili kabla kuwa unaenda kufanya maandamano ambayo nia yake ni kuiondoa serikali halafu uende kufanikiwa. Hivi mnadhani miezi hii yote hao CCM na serikali yake wamekaa tu wanawasubiri nyie hiyo October 29 muende kuwaondoa?

Maandamano ya kweli, yenye nguvu na yanayofanikiwa huwa yanaibuka tu "organically" na yanachochewa na hasira na hisia kali kutokana na matendo maovu ya wakati husika siyo haya ya kutangaza miezi miwili kabla.

Kwa Tanzania yametokea matendo mangapi ambayo yangeweza kuibua maandamano lakini kimya kikatanda mitaani hadi watu wakapoa? Watu wamebaki kugugumia na kunong'onezana tu ila hakuna action. Nguvu hiyo ya kuwavuta hao watu waingie road itatoka wapi wakati mmewapa watesi wenu muda wa kujiandaa na kujizatiti na wakati huo huo hisia za watu kupungua?

Kuna jambo nililisema kuhusu Polepole, Mpina na Mange wiki kadhaa nyuma katika post yangu ya mwisho na nasimama na maneno yangu maana baada ya nilichoandika ndiyo siku kadhaa nikasikia "ametekwa". Nasimama na kauli yangu ya awali.

Narudia jambo ambalo nimelisema mara kwa mara. Watanzania bila kuamua kusimama wenyewe bila kutegeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongoze (au sasa hivi mmeingizwa chaka la eti jeshi lipo tayari kuwasaidia), hamtaiondoa CCM kamwe.
Tanzania is a very peaceful country, wenye drama wote hata Birigi hawajui… wakaangalie Sierra Leone playbook wapate akili

Watu jamii ya Mange hawa issue ya uzalendo, they want money for their life hasa kununua wigi na kulipa security ya mtandao,

Tanzania is bigger than drama - vijana Mlio nchini Wekeni hoja na strategy vizuri badala ya destruction
 
Ndo maana mi nimekua nikiwaita Nyumbu watu wenye mawazo hayo ya kupanga tarehe flan eti ndo wataandamana, hapa kati kati zilitokea sahabu nyingi za hayo maandamano kuwepo ila hawajatumia hizo sababu kuandamana, Lissu tu kuwa mahabusu ilitosha kuwa sababu, watu kupotea ilitosha kuwa sababu, na sababu nzuri zaidi ilikua ni kupotea kwa polepole ila hakuna Nyumbu alietoka.

Kwahiyo nilichogundua hawa Nyumbu wameficha uoga wao kwenye tarehe ya mbali kwakua wanajijua ni waoga na hawana courage ya kuandamana, sasa kichaka cha tarehe ya mbali nacho kinakaribia kuisha utaona kama utaona mtu hata mmoja akiandamana.
Kwa wenye vichwa viguku tu

Kitendo cha taarifa za maandamano kutolewa miezi miwili kabla hasa kwa Tanzania nikitendo chakimkakati sana na aliyekiratibu anaonekana siyo tu anaujua Tanzania na watanzania wake kwa kiwango cha hali ya juu sana ,unajua ni kwanini?

1. Watanzania wengi hawajazoea vurugu na hivyo ni watu wenye mioyoni yenye baridi sana so kuwafanya wawe chai nilazima uwapike kwa muda mrefu

2. Lengo la pili nikuhakikisha wanawaondoa CCM kwenye njia , hili kila mmoja ni shuhuda , wewe unaona campaign za mwaka huu zimefanyika kwa viwango vile ? Full mipasho badala ya kuuza sera 🤣 wanafiiia hadi kukodisha wa Mexico huko kinyume na miaka mingine huwa wanasimamaga watanzania halisi kuisemea serikali iliyopo madarakani ila mwaka huu diaspora wote wapo side B which is very bad sign kwa upande wa watawala.

3 Tatu na kwakuhitimisha , lengo la kutoa muda mrefu halikuwa na pengine halitupendezi wengi kuona serikali na Taifa letu likiingia kwenye machafuko , sasa unaweza unajiuliza ,ikiwa hivyo ndivyo sasa nini msingi wa kuratibuwa kwa hayo maandamano ? Swali zuri ,jibu lilikuwa nikuitishia serikali na kwakuwa muda uliwekwa mkubwa ili itengeneze uwezekano wa meza ya duara , serikali ilete hoja ya majadiliano itakayojikuta kwenye kutengeneza umoja wakitaifa .

So nini kitatokea ikiwa serikali itajifanya inaendelea kuweka pamba masikioni?

CCM itakuwa imejitambulisha kama adui rasmi hivyo watakuwa wamezipa sababu taasisi nyingi kuamua kuingilia kati kwa kuwa upande wa watawaliwa.

Ikiwa itafikia hatua hiyo ,amini nakwambia , CCM inakwenda kuondoka madarakani ndani ya masaa machache baada ya jamii kuingia barabarani maana pressure itakuwa ni kubwa kuliko matarajio .

Ondoa hofu kuhusu matishio ya askari hao unaosikilizishwa sauti zao , hao wenyewe washalegea na ukweli wanaujua .

Achana na mikwara ya Jeshi , hakuna pale mwenye uwezo wa kukomaa na chama corrupt kama CCM ,kwa wasiyojua hiyo fursa inatamaniwa na Jeshi kuliko wewe na mimi tunavyodhani .

Kisa walilolifanya serikali ya CCM nikuwaonjesha pesa wanajeshi wa ngazi za juu ,kitendo hicho kinatoa tafasiri kuwa sasa niwakati wetu wakujichotea badala ya kusubiri kuchotewa ,hivyo ni sawa na mkulima kumpa paka panya mwenye chumvi .

Nikuhakikishie tu , siku ikitokea watanzania wametoka ,CCM wajue rasmi washapoteza mamlaka ,maana hapo CDF atagawanya kikosi mara nne
1. Kikosi cha watetezi
2. kikosi cha usuruhishi bandia .
Kikosi cha kuongoza watawaliwa kugusa maeneo yatakayoilazimisha serikali ijisalimishe .
4 na Kikosi cha mwishonikile kitakacho torosha viongozi

Then game over

Niseme tu kwa ufupi kwa sasa hivi: hii mifano miwili, pamoja na kuwa kielelezo kizuri; lakini haifikii katika huu tunaoelekea kuufanya kama taifa; hapo Oktoba 29 au hata kabla na baada ya tarehe hiyo.

Haya ni maandamano maalum; ya kipekeee kabisa; tena yanayotokea wakati sahihi kabisa.
Hizi ni motisha za kutosha kufanya maandamano yenye tija kubwa kwa taifa letu.

Haya ni maandamano ya kipekee, huwezi kuyalinganisha na aina nyingine yoyote ya maandamano.

Na muhimu zaidi, usisahau. HAYA NI MAANDAMANO YA NCHI NZIMA.

Siyo maandamano ya Dar; Mwanza; Mbeya; Arusha; Dodoma pekee, ni nchi nzima.

Sasa ilinilazimu kusoma hadi mwisho wa mada yako. Sasa nakuuliza wewe unajuaje wewe kuwa safari hii waTanzania hawataamua "kusimama wenyewe bila kutegemeana au kutegemea viongozi au watu fulani wawaongozze"Hawa waTanzania umewashikilia mifukoni mwako?

Natamani tuanze ya tarehe hiyo Kwa kushitukiza

Ndg mtoa post, ulichokisema ni Kweli.

Lengo ni kuiweka ccm na serikali yake roho juu juu, ni kitisho tu itishike na imetishika. Kutishika ni hatua kuelekea kutikisika na kutikisika ni kuelekea kuanguka. Usichukulie poa kutishika kuna athari, maandamano yanaweza yasiwepo ila kitisho tayari kipo

Kama hautaandamana sema kwa sababu nalidhishwa na uongozi wa CCM, naogopa virungu vya polisi au sijaridhshwa na organization ya maandamano mimi sitaandamana. Usijumuishe wengine kwenye maamuzi yako binafsi.

Ndo maana mi nimekua nikiwaita Nyumbu watu wenye mawazo hayo ya kupanga tarehe flan eti ndo wataandamana, hapa kati kati zilitokea sahabu nyingi za hayo maandamano kuwepo ila hawajatumia hizo sababu kuandamana, Lissu tu kuwa mahabusu ilitosha kuwa sababu, watu kupotea ilitosha kuwa sababu, na sababu nzuri zaidi ilikua ni kupotea kwa polepole ila hakuna Nyumbu alietoka.

Kwahiyo nilichogundua hawa Nyumbu wameficha uoga wao kwenye tarehe ya mbali kwakua wanajijua ni waoga na hawana courage ya kuandamana, sasa kichaka cha tarehe ya mbali nacho kinakaribia kuisha utaona kama utaona mtu hata mmoja akiandamana.

Tukubali tukatae bado sisi hasira zetu ziko mbali sana ukilinganisha na majirani zetu wakenya

Maandamano hayapo uwo ndo ukwer ila ata watu kujitokeza kupiga kura pia watatoka watu wachache sana kuringanisha na kipindi kingne

So inawezekana wasiandamane barabaran ila wakaandamana majumban kwao

Matukio mengi yametokea ambayo yangeweza kuwafanya watanzania waonyeshe wazi hisia zao ila kimya.

Siku taarifa za Polepole kutekwa zilipotoka, nilikuwa sijaingia kabisa mtandaoni. Katika harakati zangu za siku, nikapita duka moja hivi kununua soda. Nikakuta mteja mmoja anaongea na muuza duka kuhusu habari za mtu fulani kuvamiwa nyumbani kwake. Wote muuza duka na mteja walikuwa ni watu wazima. Nikajua ni ujambazi fulani tu umetokea eneo lile.

Nakumbuka yule mteja akamwambia muuza duka "kila mtu sasa anapambana kivyake". Nadhani muuza duka alikuwa tayari amepata zile taarifa ila mazungumzo yale yalimtoa machozi. Yule mteja alipoondoka akawa ananihudumia mimi huku akiendelea kulia. Nikamuuliza vipi kuna nini, hakutaka kusema hata neno.

Nilipotoka pale nikasema embu niingie mtandaoni nicheki kuna nini. Ndiyo nikakutana na habari za Polepole.

Watu kama yule muuza duka na wengine wanaoguswa na matukio kama haya ukiwapa miezi miwili waje kuandamana, hisia zao haziwezi kuwa katika kiwango kilekile.
 
Lengo ni kuiweka ccm na serikali yake roho juu juu, ni kitisho tu itishike na imetishika. Kutishika ni hatua kuelekea kutikisika na kutikisika ni kuelekea kuanguka. Usichukulie poa kutishika kuna athari, maandamano yanaweza yasiwepo ila kitisho tayari kipo
Kutishia nyau kamwe hakuiondoi serikali na badala yake kunaifanya itoe makucha yake.
 
hakuna namna, ni vitisho vya maandamano tu, watanzania bado sana kufanya maandamano ya namna hii
Hata Nepal Kuna aliyetarajia kama kitawaka vile basi ,wale jamaa Wali ngoza kwa utiifu ,fuatilia taarifa zao ,Bora madagaska .
 
Mutaindoaje serkali iliyopo madarakani takriban miaka 60+, bila ya kua na hoja inayo unganisha raia wote bila kujali itkadi zao?

Kwamfano maandamano haya yamebeba hoja zaidi ya mbili na kila mtu ana hoja yake.

1) Kuna wataoandamana kisa hawaitaki serkali ya CCM na Samia wake.

2) Kuna wataoandamana wakidai mabadiliko ya Katiba.

3) Kuna wataoandamana kupinga watu kutekwa na kupotezwa mazima na watu wasio julikana.

Kwahiyo ukiangalia hapo, kila mtu ataandambana akipambania jambo analo amini yeye, kiufupi hakuna umoja hapo.

..kupinga utekaji ni ajenda inayounganisha makundi yote.

..Na Ccm imeshindwa kabisa kujichomoa.

..Wassira alipata nafasi ya kulaani Polepole kutekwa akashindwa kutoa kauli inayoeleweka.
 
Back
Top Bottom