Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,914 Reaction score 14,769 Jul 23, 2026 #21 Don't trust someone too much
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,272 Reaction score 27,065 Jul 23, 2026 #22 Urafiki ni kiini macho tuu! 😊
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,449 Reaction score 62,829 Jul 23, 2026 Thread starter #23 dronedrake said: watakuambia "mke" yupo Click to expand... Hao ndio hatari zaidi
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,305 Reaction score 9,599 Jul 23, 2026 #24 mwehu ndama said: Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake Click to expand... Muda wa kutosha kama upi
mwehu ndama said: Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake Click to expand... Muda wa kutosha kama upi
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 529 Reaction score 1,067 Jul 23, 2026 #25 jambo Dunia said: Mtt wangu ndio rafiki yangu wa ukweli na hata akinisaliti sitakuwa na maumivu km yakusalitiwa na mtu baki Click to expand... siku akutoe kafara hutoamini macho yako
jambo Dunia said: Mtt wangu ndio rafiki yangu wa ukweli na hata akinisaliti sitakuwa na maumivu km yakusalitiwa na mtu baki Click to expand... siku akutoe kafara hutoamini macho yako
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,306 Reaction score 8,453 Jul 23, 2026 #26 Naunga mkono hoja.
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,303 Reaction score 8,890 Jul 23, 2026 #27 Mnachihanguuu said: Muda wa kutosha kama upi Click to expand... kwa hiyo hutengenezi bondi na mtoto afu unategemea waje wapoteze muda wao kwa ajili yako sababu tu unalipa ada nakununua chakula na nguo?
Mnachihanguuu said: Muda wa kutosha kama upi Click to expand... kwa hiyo hutengenezi bondi na mtoto afu unategemea waje wapoteze muda wao kwa ajili yako sababu tu unalipa ada nakununua chakula na nguo?
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,653 Reaction score 7,223 Jul 23, 2026 #28 Rafiki wa kweli ni pesa. Ndugu wa kweli ni Mungu.
jambo Dunia Senior Member Joined Jun 6, 2026 Posts 142 Reaction score 369 Jul 23, 2026 #29 shilaa said: siku akutoe kafara hutoamini macho yako Click to expand... Boraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuu
shilaa said: siku akutoe kafara hutoamini macho yako Click to expand... Boraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuu
jambo Dunia Senior Member Joined Jun 6, 2026 Posts 142 Reaction score 369 Jul 23, 2026 #30 mwehu ndama said: Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake Click to expand... Kila nilipo nipo hamjui hata mama yake na mama yake naye hajui km ana mtt mkuu.
mwehu ndama said: Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake Click to expand... Kila nilipo nipo hamjui hata mama yake na mama yake naye hajui km ana mtt mkuu.
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 529 Reaction score 1,067 Jul 23, 2026 #31 jambo Dunia said: Boraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuu Click to expand... kwan kuna uwezekano wa kutolewa kafara na mutu ambaye sio ndugu yako
jambo Dunia said: Boraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuu Click to expand... kwan kuna uwezekano wa kutolewa kafara na mutu ambaye sio ndugu yako