Duniani hakuna mtu mnafiki kama ndugu wa damu

Duniani hakuna mtu mnafiki kama ndugu wa damu

Hapo inatokana na misingi mliyojengewa na wazazi wenu wakati mnakua..kama wazazi wenu waliwajenga katika mazingila ya kucompete lazima hadi ukubwani muwe mnashindana hadi kwenye maendeleo na kuoneana wivu...

Lkn kama mlilelewa katika misingi ya kusaidiana na ya upendo na hivyo ndivyo mtakavyokua..

Kwahio mtoa maada kawalaumu wazazi wenu walio walea..
Mfano hai ni kwenye familia yetu wazazi waliwasomesha watoto wa kwanza lakini hadi leo mm mtoto wa mwisho nimesomeshwa na kaka zangu hadi nimepata kazi yangu nzuri tu na bado tunaelewana na kusaidiana katika shida na raha........

You've spoken my mind.
 
Hujitambue! Nakusihi jitambue! Jitathmin na ndugu zako, uene, soma hata bibilia, kaini akamuua nduguye, daudi hakupendwa na kaka zake! Hebu jitambue
Si ndungu wa familia zote wako hivyo.
 
Hujitambue! Nakusihi jitambue! Jitathmin na ndugu zako, uene, soma hata bibilia, kaini akamuua nduguye, daudi hakupendwa na kaka zake! Hebu jitambue
Usisome Biblia kama gazeti ndugu. Jiulize ni Mazingira gani yalisababisha. Siyo kukurupuka na kutuaminisha unachoamini. Piga kazi, saidia ndugu.
Siyo ukae ukisubiri ndugu wakusaidie-labda kama utakuwa ni mlemavu wa akili
 
Back
Top Bottom