Duniani hakuna mtu mnafiki kama ndugu wa damu

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, Kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye, hayo ndo yanaendelea mpaka leo hapa duniani, kama unadegemea ndugu yako wa damu akusaidie utoke ki maisha... Basi sahau, huyo atakua mnafiki na atakufanyia kitu mbaya usifanikiwe kumzidi!! Ukweli ni ngumu ndugu kukusaidia ufanikiwe kuliko yeye, ni heri marafiki mtatoana kimaisha!
 
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, Kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye, hayo ndo yanaendelea mpaka leo hapa duniani, kama unategemea ndugu yako wa damu akusaidie utoke ki maisha... Basi sahau, huyo atakua mnafiki na atakufanyia kitu mbaya usifanikiwe kumzidi!! Ukweli ni ngumu ndugu kukusaidia ufanikiwe kuliko yeye, ni heri marafiki mtatoana kimaisha!
 
Swadaktaaaa kabisa nimetumikishwa na braza wa damu miaka mingi hanilipi mshahara nikidai anachonijibu hii kazi ya yetu wote cha ajabu me nahangaika zaidi ananufaika yeye me ananipa pesa hadi nipate shida.nikaona tazeeka maskini hapa nikamdai kwamba kuanzia sasa anilipe kwa mkataba akaanza kuhaha nikamtema kama sio hivyo hadi sasa ningekuwa nimepanga
 
Mkuu ni sahihi unachosema, maana ni rahisi kukutana na mtu mkawa na mawazo ya pamoja mkajenga ushirikiano mkubwa na mkainuana kimaendeleo kuliko ndg, utaishia kupigwa majungu tu
 
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, Kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye, hayo ndo yanaendelea mpaka leo hapa duniani, kama unadegemea ndugu yako wa damu akusaidie utoke ki maisha... Basi sahau, huyo atakua mnafiki na atakufanyia kitu mbaya usifanikiwe kumzidi!! Ukweli ni ngumu ndugu kukusaidia ufanikiwe kuliko yeye, ni heri marafiki mtatoana kimaisha!

Yaani utakuta hili jamaa ni likubwa kiumri ila linamlalamikia mdogo wake aliye mkubwa kifedha.

GANGAMALA.

USIKAE KULALAMIKA LALAMIKA, Ulipaswa USOME ALAMA ZA NYAKATI ukiwa kijana-SASA UNAISOMA NAMBA UKIWA MZEE.
 
Kwakifupi ndugu awakubaligi ndugu yake amzidi maendeleo Na ndo wakwanza kurudishana nyuma
 
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, Kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye, hayo ndo yanaendelea mpaka leo hapa duniani, kama unadegemea ndugu yako wa damu akusaidie utoke ki maisha... Basi sahau, huyo atakua mnafiki na atakufanyia kitu mbaya usifanikiwe kumzidi!! Ukweli ni ngumu ndugu kukusaidia ufanikiwe kuliko yeye, ni heri marafiki mtatoana kimaisha!
Mtegemea cha ndugu, hufa masikini. Waswahii walisema.

Kwa nini umnyenge mtu kisa ndugu yako?
 
Yaani utakuta hili jamaa ni likubwa kiumri ila linamlalamikia mdogo wake aliye mkubwa kifedha.

GANGAMALA.

USIKAE KULALAMIKA LALAMIKA, Ulipaswa USOME ALAMA ZA NYAKATI ukiwa kijana-SASA UNAISOMA NAMBA UKIWA MZEE.
We nae mbona unaandika kama umeshikishwa ukuta ukipakwa. Vilainishi? Huwez changia bila kumdhihaki?
 
Mimi ndo mdogo kuliko wote! Na nina elimu kuliko wewe, na ndudu zangu wana elimu kuliko wewe, na hata marehemu baba aliesoma urusi mika saba ana elimu kuluko wewe! Elimika tujadili kisomi!
 
KWA SABABU SIKUJUI HUNIJUI, I AM CHALLENGING YOU ACCORDING TO WHAT YOU HAVE WRITTEN.

KAMA NI ELIMU YA KULALAMIKA UTANIZIDI-OTHREWISE NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.

UNASHIKWA MKONO NA VYETI VYAKO SI NDUGU YAKO.

MAY BE ULIKUWA UNATUMIA VYETI VYA NDUGU YAKO NDO KAVICHUKUA-HUNA MWELEKEO SASA.
 
Hapo inatokana na misingi mliyojengewa na wazazi wenu wakati mnakua..kama wazazi wenu waliwajenga katika mazingila ya kucompete lazima hadi ukubwani muwe mnashindana hadi kwenye maendeleo na kuoneana wivu...

Lkn kama mlilelewa katika misingi ya kusaidiana na ya upendo na hivyo ndivyo mtakavyokua..

Kwahio mtoa maada kawalaumu wazazi wenu walio walea..
Mfano hai ni kwenye familia yetu wazazi waliwasomesha watoto wa kwanza lakini hadi leo mm mtoto wa mwisho nimesomeshwa na kaka zangu hadi nimepata kazi yangu nzuri tu na bado tunaelewana na kusaidiana katika shida na raha........
 
Hujitambue! Nakusihi jitambue! Jitathmin na ndugu zako, uene, soma hata bibilia, kaini akamuua nduguye, daudi hakupendwa na kaka zake! Hebu jitambue
Don't generalise the issue mkuu.
Siyo wote tupo hivyo, wengine tumejaaliwa upendo. Sisi tumezaliwa sita katika familia na hakuna amchukiae mwenzie, na wote tumebebana na maisha yanaenda fresh.

Na nna evidence ya familia nyingine tena ina Jina kubwa tu nchini hapa na wenyewe wanapendana Hatari

Wale wanaokulia kwenye Dhiki ndiyo hua Mara nyingi na gubu
 
We nae mbona unaandika kama umeshikishwa ukuta ukipakwa. Vilainishi? Huwez changia bila kumdhihaki?

KAMA UMEZOEA KUPAKWA OIL, SI WOTE. ENDELEA TU KUPAKWA DADANGU MPAKA KICHWANI. MI NIMEOA
 
Zimwi likujualo........

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
KWA SABABU SIKUJUI HUNIJUI, I AM CHALLENGING YOU ACCORDING TO WHAT YOU HAVE WRITTEN.

KAMA NI ELIMU YA KULALAMIKA UTANIZIDI-OTHREWISE NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.

UNASHIKWA MKONO NA VYETI VYAKO SI NDUGU YAKO.

MAY BE ULIKUWA UNATUMIA VYETI VYA NDUGU YAKO NDO KAVICHUKUA-HUNA MWELEKEO SASA.
Ngoja nikudharau nikuache! Sijaandika hii kiunafiki! Acha upumbavu! Hakuna ndugu atayekubali unzidi kinaisha aukipesa na kimali, hata ki utu!
 
Chochote uandikacho, jua kuna wanaofikiria zaidi yako. Acha uvivu wa kufikiri.

Endeleeni kama mko mashindanoni RIO otherwise kajifunzeni kwa sisimizi.
 
Back
Top Bottom