Chadema haina wanachama vichaa kama hao wa Diamond, check your manners..Hata Diamond platinumz ana washabiki wengi kuliko Chadema.
Tena wako live Dunia nzima.
Chadema haina wanachama vichaa kama hao wa Diamond, check your manners..Hata Diamond platinumz ana washabiki wengi kuliko Chadema.
Tena wako live Dunia nzima.
Kwanini sasa mnampuuza katibu wenu amewakosea nini jamani 😂
Kama hujalogwa basi utakuwa ulizaliwa na matatizo ya ubongoMimi nimesema hakuna anayewafuatilia hata kidogo nje ya mipaka yetu.
Wewe kama unabisha ebu weka ushahidi hapa.
Acha blah...blah....
Wenzako waliondoka kwenda Magharibi na Ulaya hata Asia kabla ya Mfumo wa vyama vingi vya Siasa kuja nchini kwako!!.Wamepata ushawishi unaweza kushindana nao Kwa kitu gani,Kura zenu kuzuia Mfumo zilikua nyingi lakini kwasababu waliwashika pabaya mkakubali shingo upande,mmekula fedha za washirika wao kwanini mnataka kuwanyanyasa tena!!.. Karibu Kilimanjaro weekend hiiImekuwa kawaida ya viongozi wa Chadema kukaririwa wakisema ...
"Dunia yote ituelewe"
As if Dunia yote huwa iko attention na uwepo wao au mikutano yao.
Humu ndani kuna wafia chama cha Chadema,ebu nisaidieni kuelewa kwa vielelezo.
Na mtowe mfano humu kuonyesha hata wafuasi wenu wakiwafuatilia kutoka hata nchi moja ya jirani hapa?
Acheni kujikuza maana nina uhakika hilo halipo!
Kama mnabisha wekeni ushahidi hapa,bila matusi.......
View attachment 2155642View attachment 2155643
wewe wa Lumumba mnaojua maumivu ya joto la CHADEMA unajifanya hujui. Sisi wa TADEA tutajuaje?Imekuwa kawaida ya viongozi wa Chadema kukaririwa wakisema ...