Dunia yetu ndivyo ilivyo?

Dunia yetu ndivyo ilivyo?

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,196
Reaction score
609
Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa mchana tu (Hakuna Giza) na sehemu zingine kuwa Usiku tu (Jua halionekani)

Je hizi sehemu zinazokutana na Hali hiyo wanapanga vipi muda wa Kazi na muda wa (kulala) kupumzika?

Kwa mfano nimeangalia sehemu za Kaskazini mwa Urusi na pia Nchi Kama Finland hakuna Giza kwao kipindi hiki.

Screenshot_20220715-010137.png
 
Sasa na wao inakuaje mgawanyo wa majukumu?
Mweeeeh.
 
wakikaa macho weeee!! wakichoka wanalala!!....Mbona Bongo Kariakoo au/kwa Masangati watu hawalali?? yaani ni ukichoka tu nenda kapige mboji!!! ukiamka tu, nachapa maji kama kawaida!

Ambiance pale hawalali, wanauzaaaaa masaa 24! usiku Mataa kama yote!!..........wanaenda kulala na kurudi!! usiku wako, ni wewe mwenyewe kuutaka, mleta mada unaishi kijiji gani kwani???? si utembee tembee???
 
Mtaa wa sikukuu maweee!! ................ndo utachokaaaa! usiku km mchana!
 
Back
Top Bottom