Hahahah anazirudi kufurahisha nafsi hiii hahaha nakumbuka kuna siku nlikua nazirudi mwenyewe tena kwa radio farkhina mie heee mda si mrefu dada uyo mara aunt huyo hahahhaha mwisho nlipata wateja kama 6 hadi cousion yangu 4 years old......i was fun nkikumbuka nachekaaa
Hope mliweka ule wimbo was UB 40- red red wine...!