Dunia ya leo hakuna asiyeweza kuchepuka

Dunia ya leo hakuna asiyeweza kuchepuka

Umesha nivuruga akili yangu,nilikuwa nadaiwa mchango wa harusi sasa sitoi tena...
 
Usiesemee moyo wa wenzio kuna siku utaikana kauli yako hiyo!
 
Mzinzi/Mzinifu katika ubora wako,endelea kufurahia uovu,ipo siku utajibu mbele za Mwenyezi Mungu.
"asikiaye na afahamu"
 
Sio kweli fanya uchunguzi wa kutosha
Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda

Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja

Kuchepuka hakutaisha kiukweli
 
Back
Top Bottom