Dunia ya leo hakuna asiyeweza kuchepuka

Dunia ya leo hakuna asiyeweza kuchepuka

Miss_Irene

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
320
Reaction score
456
Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda

Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja

Kuchepuka hakutaisha kiukweli
 
Si umtongoze tu huyo office mate badala ya kutesa moyo wako? Wanawake kutongoza RUKHSA!

Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda

Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja

Kuchepuka hakutaisha kiukweli
 
Unasubiri nn kuniambia?

kwa hiyo huyo jamaa akikuchombeza upo tayari kumpa ??
 
Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda

Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja

Kuchepuka hakutaisha kiukweli
Umeongea ukweli mchungu
 
Loose ball [emoji460]️ ni mpira ambao mchezaji yeyote aliye karibu anaweza kuucheza [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom