Kawaida tu, kama nimemuelewa namuunga mkono juhudi zake.Mmh kweli? Wewe mdada akikutongoza utachukulia kawaida?
Mwenyezi Mungu awarehemu sana tu.Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda
Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli
inakuwa inawashawasha kila mara, hahaha lazima itafutiwe mkunajiha ha ha ha, ila ya kwangu haina jam mkuu basi tu!
Shetani yupo kaziniThreads za namna hii huwa zinatumika sana, sijui waleta threads Huwa wanawaza nini. Kwa hali hii dunia haiwezi kuwa sehemu salama tena kwa binadamu, watachomana mkaa sana yaani.
Ndo mana watu wako bize wanatafta bikraUmeongea ukweli mchungu
Ndo maana huwa sina hofu hata ninapokuwa maili elfu kadhaa mbali na wewe!!Unajua fika kwamba mimi siwezi kufanya hivyo baby
Huyu sitaki hata kuwa naye wilaya moja, pambafu!!Atakayemuoa huyu atapata tabu sana.
Nadhani kitu imekuwa ikileta changamoto kushindwa kutofautisha upendo wa kweli , upendo wa kawaida,tamaa inayopelekea upendo wa kawaida na tamaa kama tamaa tu . Mara nyingi watu tumekuwa tukiingia kwa mahusiano hadi ndoa na watu ambao kiukweli hawakuwa 1st choice.Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda
Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo kwenye mahusiano ila kiukweli kuna mwanaume nampenda sana aisee na nipo nae ofisi moja
Kuchepuka hakutaisha kiukweli
Kwa stahili hii inakatisha sana tamaaaDuh sidhani kama nitaoa kumamae
IdiotNajua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda