Huu mbona kama mkumbwa kabisaMti wa bonsai ulioishi kwa muda mrefu zaidi ni Ficus retusa Linn, unaokadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 1,000, na uko katika Jumba la Makumbusho la Crespi Bonsai nchini Italia.View attachment 3267859View attachment 3267860