Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,207
- Thread starter
- #61
Umeni copy tofauti kidogo, nimekuuliza hivo kwan wew umeonekana kunishangaa why sijapata mke mwema kutoka kwa bwana.
Na huku twafanana, wew pia haupo kwenye ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku twafanana, wew pia haupo kwenye ndoa
Wa umri wako wapo wamejaa tele, usiniambie unafikiria mimi naweza kuwa mwenza[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app