Dunia ya ajabu, ni mimi huyu nikinywa pombe.

Dunia ya ajabu, ni mimi huyu nikinywa pombe.

Halafu watu wanasemaga Kasie ana manyege kila siku, ona sasa huku..... ni mwendo wa minyege tuu alikoholi kisingizio tuu......

Ndudana tamu banaa, asikwambie mtu hehehee..
 
Hahahaaaa, ninachokipenda mm kinajulikana.

Mwanzo nilikua nikifikiri naweza pata mwanamke tajir then niishi kwa bata tu.

Nikaja kujua nilikua wrong

Swala la mwenza wengi watateseka sanaaa, hadi mimi ninaona kama nakosa au nachelewa kupata, Duuu.

Hili nilakumuachia Mungu tu.
Bila hivo itakua ni mwendo wa kuangukia pua tu, kutendwa na kuachwa.

Nitaubili kuhusu ndoa kama Mungu atakavo kuja kuniongoza.
Wa umri wako wapo wamejaa tele, usiniambie unafikiria mimi naweza kuwa mwenza[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom