Dunia ya ajabu, ni mimi huyu nikinywa pombe.

Best thing, napenda katika hii dunia ni umaarufu tuu, niwe mtu maarufu sana kwa kupendwa na watu kama mtu ninae saidia sana jamii kwa mambo mbalimbali.

Kuhusu mapenz sina moyo wa kupenda kabisa
Coz mm napenda tabia
naona kama ladies wote hamjakamilika nimekosa binti mwenye tabia nzuri exactly niitakayo wa kunipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye tabia nzuri wapo tatizo unataka full package yaani chura, sura, akili, tabia. Utapata tabu sana, sisemi hawapo ila nakuhurumia mdogo wangu utateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siko hvo kabisa, amin nisemacho mm hupenda tabia, tabia na sio mambile ya mtu.

Nimepanga siku nikipata mwanamke huyo nimtakaye nitaanza rasmi utumishi nitasomea uchungaji na kuwa mchungaji rasmi na mama mchungaji akiwa pembeni.
Wenye tabia nzuri wapo tatizo unataka full package yaani chura, sura, akili, tabia. Utapata tabu sana, sisemi hawapo ila nakuhurumia mdogo wangu utateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom