Dunia simama nishuke

Nafkiri hadi hao maiti hawakuamini kilichowatoea wakaamua kurudi kuthibitisha zaidi kma wao ndio walioyakuta,kuishi tz raha sana mana tunajionea mengi yalo nje ya uwezo wetu.
 
Duuuuh! Ni hatareeee! Kama ndivyo ilivyo! Nadhani wanasimuliana wenyewe kwa wenyewe! Hata mwandishi naye alikufa na MV Nyerere!
 
Nafkiri hadi hao maiti hawakuamini kilichowatoea wakaamua kurudi kuthibitisha zaidi kma wao ndio walioyakuta,kuishi tz raha sana mana tunajionea mengi yalo nje ya uwezo wetu.
 
au kitengo cha uandishi wa habari kimekuwa na nguvu ya kutuletea habari mubashara kutoka peponi
 
Mimi nataka kujirusha tu naona dereva hataki kutushusha tuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…