Dunia ni duara au flat?

Dunia ni duara au flat?

Dunia ni duara hilo halina ubishi, siyo flat ni duara kuanzia picha kutoka International Space Station, machweo na mawio ya jua, kuangalia meli ikipotea kwenye upeo wako baharini nk
Kwanini haya maji ya bahari zote hayamwagiki maana tunaeelea kama mnavyosema kuna gravity kwenye dunia inayofanya vitu kuanguka na maji kumiminika

d592c317935609.562c11af983c7.gif
 
Kwanini haya maji ya bahari zote hayamwagiki maana tunaeelea kama mnavyosema kuna gravity kwenye dunia inayofanya vitu kuanguka na maji kumiminika

View attachment 3717770
Maji ya bahari hayamwagiki kwenye dunia kwa sababu ya nguvu ya mvutano wa dunia (gravity) inayovuta kila kitu kuelekea katikati ya dunia.
• Mvutano wa dunia: Dunia ina wingi mkubwa sana, hivyo inavutia maji, ardhi, hewa, na vitu vyote kuelekea kitovu chake. "Chini" kwa kila sehemu ya dunia ni kuelekea katikati ya tufe la dunia.
• Bonde la bahari: Maji yanakaa ndani ya mabonde makubwa ya ardhi yaliyotengenezwa na mabamba ya dunia, hivyo yanashikiliwa mahali pake na ardhi pamoja na mvutano wa dunia.
• Mzunguko wa dunia: Ingawa dunia inajizungusha kwenye mhimili wake, nguvu ya mvutano wa dunia ni kubwa zaidi kuliko nguvu ya kutupa vitu nje inayotokana na mzunguko h
uo.
 
Umekimbilia chatgpt
 
Kanisa Katoliki mwanzo lilisema dunia ni "flat " ila wakabadili msimamo na kukubaliana na wanasayansi.
Kwahiyo andiko kwenye biblia linalosema Dunia ni flat limebadilishwa? Hata hivyo nakubaliana na wewe kwamba wazungu wao wanaamini katika theory ya Heliocentric model(Big bang na Dunia kuwa kwenye space kulizunguka jua) yaani DUNIA NI DUARA.
 
Back
Top Bottom