simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,698
- 9,590
Civilization has a mixed blessing to human happiness. Maendeleo pia yanabeba hasara.
YANGETOKEA YAFUATAYO
1.Jamiiforums isingekuwepo
2.Tusingekuwa na Bombardier
3.Laptop na Smartphone, visingekuwepo
4.Biashara ya kubeti isingekuwepo
5.Tungekuwa na dini pamoja na tamaduni zetu wenyewe.
6.Pale posta pangekuwepo na vichaka vya kuogofya na tusingekuwa na barabara za lami.
7.Tusingekuwa na TANESCO, TCRA, NEC, TBC, n.k
8.Pasingekuwepo na UKIMWI wala CONDOM.
9.Mapenzi yangetegemea hisia za dhati na sii pesa.
10.Nisingekuwa naisubiri game ya Liverpool na Manchester United 17 ya October.
enzi hizo wanagundua babu zetu walikua wapo kwenye evolutionWalipogundua Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kama vile babu zetu hawakuyaona.

Utakuwa umesoma history na hivi ndivyo mlivyokuwa mnadanganywa na Pan Africanists!! Nijibu swali moja: Industrial revolution iliyotokea Europe zaidi ya miaka 500 iliyopita, hadi hivi sasa Afrika hatujaifikia pamoja na kwamba tuna kwa kujifunza... NDIYO AU HAPANA? Kama HAPANA, fafanua!
Tungekuwaje na michepuko ili hali kila mmoja angekuwa na wake kumi kidogo?Pia michepuko isingekuwepo,kashfa kwa wanaume wa dar kucheza mechi moja ingekuwa ajabu kuisikia
Nani alileta/sababisha huo ubinafsi kwanini wao sio wabinafsiMUNGU HANA UPENDELEO HATA CHEMBE, SIKU NCHI ZETU ZIKIWA NA MFUMO BORA WA KUENDELEZA VIPAJI, NA KUTOA ELIMU BORA BASI AFRICA TUTAKUWA ZAIDI YA ULAYA. TUMEZIDI KUWA WABINAFSI SANA, KUANZIA KWENYE NGAZI ZA FAMILIA HADI UONGOZI WA NCHI.
fuatilieni historia ya mafarao wa egypt kabla ya kuja hao wazungu timbuktu,kushi na vi states vyote
Tungekuwa mbali sana...kwa sabab kabla ya ujio wao tulikuwa tuko sawa kimaendeleo
Tafiti kuhusu dunia ya kale (ancient egypt) watu wa mwanzo kbs kustaarabika, mwanzo wa elimu, maandishi, sanaa ya hali ya juu, chuo kikuu cha kwanza duniani, maajabu ya dunia na mambo lukuki, "The history of the world"..................
Mkuu Retired, hesabu walianzisha Waarabu, Wagiriki walileta demokrasia, Roman empire ndiyo iliwafundisha wazungu ustaarabu, tuliwafundisha wazungu kufua chuma.Nonsense history, hakuna chuo kikuu in the modern sense of a university kilikuwepo that time. Labda vyuo vya jando na unyago
Nonsense history, hakuna chuo kikuu in the modern sense of a university kilikuwepo that time. Labda vyuo vya jando na unyago

Tungekuwa tunafua chuma tu kutengeneza mishale.Wakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
