Dunia ingekuwaje bila wazungu?

Dunia ingekuwaje bila wazungu?

Wakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.

Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
mkuu inawezekana una elimu ya hapa na pale, .... elimu ndio chanzo cha maendeleo duniani. elimu iliyotufikisha hapa haikuanzia ulaya tusingefika hapa kama tusingekuwa na wachina, wa misri na waajemi(iran).
 
Wakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.

Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, wanasayansi wetu wa zamani walidumazwa na wakoloni na wanasayansi wetu wa sasa wanadumazwa na sayansi za wazungu. Sayansi na tamaduni zetu ziliitwa za kishenzi . walikamatwa na na kufungwa jela watu wetu waliotengeneza bunduki, simu, ndege, redio, tomato sauce, mafuta ya break kwenye karakana zao badala ya kuwaendeleza na kuwaelekeza mapungufu yao kwenye bidhaa wanazozizalisha ili ziwe bora. Serikali zetu nazo zinaiga dhambi ileile iliyofanywa na wakoloni kwa kuzisigina tamaduni na bidhaa zinazozalishwa na wazawa.
 
Nyie mnatafuta nipewe ban bure, koma kabisa, tena ukomeeeeee..... Kama ulivyo koma.
Mungu wangu miye hana upendeleo senzi zako wewe...........

.
HUYO JAMAA ANA MULTIPLE ID KIBAO NA NDIYE ANAYEPINGA UWEPO WA MUNGU HUMU JAMIIFORUMS
 
Hakuna kitu kama hicho Afrika tulikuwa na maendeleo hata kabla ya kuja kwa wakoloni
 
vipo v
Siyo kweli ni bora ungerekebisha swali lako na kuuliza Dunia ningekuwaje bila ya Binadamu? Kumbuka kwamba kila ukionacho leo hii kilikuwepo tangu kale na sasa hivi kinachofanyika ni kuboresha tu, hivyo ingawaje Wazungu au watu wa Magharibi leo hii ndiyo wenye uchumi mkubwa Duniani na kuongoza kwenye mambo ya Sayansi na Teknolojia lkn pia wamejifunza/kuchukua au niseme kuendeleza mambo mengi sana ktk jamii nyingine!
vipo vinavyoboreshwa na vinavogunduliwa mbona unapingana na uhalisia!! na bado hujamjibu mtoa mada kwa ni i wazungu na si mwafrika??
 
Nyie mnatafuta nipewe ban bure, koma kabisa, tena ukomeeeeee..... Kama ulivyo koma.
Mungu wangu miye hana upendeleo senzi zako wewe...........

.
hana upendeo kivipi jinsi ulivyoandika yu ni ishara kuwa anaupendeleo amekunyima busara hadi unatukana
 
MUNGU HANA UPENDELEO HATA CHEMBE, SIKU NCHI ZETU ZIKIWA NA MFUMO BORA WA KUENDELEZA VIPAJI, NA KUTOA ELIMU BORA BASI AFRICA TUTAKUWA ZAIDI YA ULAYA. TUMEZIDI KUWA WABINAFSI SANA, KUANZIA KWENYE NGAZI ZA FAMILIA HADI UONGOZI WA NCHI.
kwani ubinafsi ulisababishwa na nani??? kwa nini Mungu mkamilifu akaumba kiumbe chenye ubinafsi??
 
vipo v

vipo vinavyoboreshwa na vinavogunduliwa mbona unapingana na uhalisia!! na bado hujamjibu mtoa mada kwa ni i wazungu na si mwafrika??

Ni safari ndefu sana kuanza kukuelezea hivyo amini unavyoamini, isitoshe siyo wewe niliyemjibu!
 
Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, wanasayansi wetu wa zamani walidumazwa na wakoloni na wanasayansi wetu wa sasa wanadumazwa na sayansi za wazungu. Sayansi na tamaduni zetu ziliitwa za kishenzi . walikamatwa na na kufungwa jela watu wetu waliotengeneza bunduki, simu, ndege, redio, tomato sauce, mafuta ya break kwenye karakana zao badala ya kuwaendeleza na kuwaelekeza mapungufu yao kwenye bidhaa wanazozizalisha ili ziwe bora. Serikali zetu nazo zinaiga dhambi ileile iliyofanywa na wakoloni kwa kuzisigina tamaduni na bidhaa zinazozalishwa na wazawa.
unachosema ni kweli bt bado kwa maneno yako wazungu wametuzidi maarifa ilikuwa vipi mpaka watudumaze na sisi tupo tunaangalia kwa nini mababu zetu walikuwa dhaifu mbele zao mpaka wakakubali kudumazwa??
 
Hujui unachokisema na ihalisia uliopo.
 
Hatujawahi kuwa sawa na wazungu na haitawahi kutokea... Kuna topic kwa waliosoma history form 5 inaitwa AFRICA AND EUROPE DURING 15c
 
unachosema ni kweli bt bado kwa maneno yako wazungu wametuzidi maarifa ilikuwa vipi mpaka watudumaze na sisi tupo tunaangalia kwa nini mababu zetu walikuwa dhaifu mbele zao mpaka wakakubali kudumazwa??
Maisha magumu ndio yanayozalisha watu wabunifuni na wanafalisafa. Maisha legelege na rahisi yanazaa watu legelege pia. maisha ya wazungu na Waasia yalikuwa magumu sana yaliyotawaliwa na baridi kali, utawala wa kibabe, dhuluma, njaa kali, masaa mengi ya kufanya kazi, ujira kidogo, n.k. Maisha ya aina hii yalisababisha wazungu, wachina, wakoroea, nk wawe na ujasiri wa kupambana na maisha yao ili waweze kusurvive. Hata hapa Tanzania ile mikoa yenye maisha magumu ya baridi, milima, ardhi kidogo, kama vile Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Makambako, nk maendeleo yao yana ahueni kulinganisha na maeneo yenye joto, ardhi kibao yenye mbolea, nk kama vile pwani, Dodoma, singida, nk
 
Back
Top Bottom