Dunia ingekuwaje bila wazungu?

Dunia ingekuwaje bila wazungu?

Tungekuwa tunachati JF tu maana hii imeanzishwa na Mwafrika.....
 
Unasahau kitu kimoja muhimu sana, hapa Daniani civilization huja na civilization hupotea, kuna wakati Farao misri ndiyo waliokuwa Dunia wakapotea, wakaja Wachina, wakaja Waarabu sasakuna Wazungu, hata Wazungu pia wamefikia ukingoni na sasa wanaanza kuanguka, ukiangalia leo hii Capitalism inafail kila mahali, Wazungu unemployment inaongezeka wanashindwa kuzalisha ajira kuna ushindani mkubwa ambao haukuwepo miaka 50 iliyopita hasa kutoka Asia hivyo miaka 50-100 ijayo Dunia haitakuwa hii ya leo ...
Hakuna ushahidi kwamba kuna wakati misri ilikuwa ndio dunia na ustaarabu wao ndo uliongoza dunia labda ile wanaita known world ya kipindi hicho
 
Hakuna ushahidi kwamba kuna wakati misri ilikuwa ndio dunia na ustaarabu wao ndo uliongoza dunia labda ile wanaita known world ya kipindi hicho

Ni nani amekudanganya kwamba hakuna ushahidi? Hivi mapiramidi yaliyoko Misri yalijengwa na nani na ni kipindi gani? Ni kwa nini Vyuo Vikuu vingi Duniani hasa vya Wazungu kuna somo linaitwa Egyptology? watu wanasomea kuanzia Bsc, Msc mpaka PhD ya Egyptology, Unaweza kunijibu hili swali?
 
Nyie mnatafuta nipewe ban bure, koma kabisa, tena ukomeeeeee..... Kama ulivyo koma.
Mungu wangu miye hana upendeleo senzi zako wewe...........

.
Sasa mkuu, huyo mungu wako unamtetea kwa "Mijitusi" namna hiyo?! Huyo ni mungu mfu hakika.
 
Wazungu walianzia pale waarabu na baadh ya waafrica walipoishia.....
 
Ni nani amekudanganya kwamba hakuna ushahidi? Hivi mapiramidi yaliyoko Misri yalijengwa na nani na ni kipindi gani? Ni kwa nini Vyuo Vikuu vingi Duniani hasa vya Wazungu kuna somo linaitwa Egyptology? watu wanasomea kuanzia Bsc, Msc mpaka PhD ya Egyptology, Unaweza kunijibu hili swali?
egypt walitumia Pythagoras kujenga pyramids kabla ya Pythagoras hajazaliwa ulaya.

kulikuwa na maendeleo makubwa ya sayansi kiasi kama utaalam wao ungevuka wakati huu dunia ingekuwa ngazi nyingine....

kunakaukweli kwamba civilization huwa ina collapse baada ya muda kwa sababu moja au nyingine na tuna karibia wakati huo... Europe inadondoka katika vizazi vitatu vijavyo.....
 
Hawa jamaa achana nao! Sijui huwa wanatumia akili gani kufikiri?!!
 
Siku wakisema kila nchi itumie vitu ilivyotengeneza yenyewe hata sipati picha! msafara wa rais utakuwa na lundo la mikokoteni,kuhamia Dodoma ndo itakuwa basi tena,wali tutalia vidole,kuangalia Tv na kusikiliza redio ndo kwaheri,show za fiesta hazitakuwa na maiki wala spika,fikiria nguo za mitumba zote,majinsi makali,makadeti,viatu vyote vya wazungu vikachukuliwa...ndio utajuwa waafrika tuko nyuma kiasi gani,Tujenge viwanda tuache utani.
Hahahahaaa

lundo la mikokoteni...
 
Ni nani amekudanganya kwamba hakuna ushahidi? Hivi mapiramidi yaliyoko Misri yalijengwa na nani na ni kipindi gani? Ni kwa nini Vyuo Vikuu vingi Duniani hasa vya Wazungu kuna somo linaitwa Egyptology? watu wanasomea kuanzia Bsc, Msc mpaka PhD ya Egyptology, Unaweza kunijibu hili swali?
Unaijua mipaka ya dunia ya kipindi hicho?
 
Back
Top Bottom