Kaka naomba ujibu maswali yangu tu,mbona rahisi sana.
Kaka naomba ujibu maswali yangu tu,mbona rahisi sana.
Msio kuwa na maarifa ya jambo hili huwa mnavituko sana hasa mnaposhindwa kujibu maswali mepesi kama niliyo kuuliza,unaanza sasa kuujadili upeo na elimu,sasa ili uonyeshe mimi nina upeo mdogo jibu maswali yangu na uniwekee hoja za kielimu kuonyesha ukweli wako. Kinyume na hapo hizi ni kelele za chura tu.Kaka, naishia hapo, kiwango cha elimu yako ni kidogo mno kuweza kujua nitakacho kuelewesha.
sasa unadhani huyo abdallah saleh kaipata elimu ipi kama sio ile waliypiwacha masahaba hao ikapita na kupita mpaka kwa abdallah saleh ?Asili ya hili ni kutoka kwa mtume,ukisoma fani ya Tajweed utakutana na jadithi ya mtume inayosema ukitaka kuisoma Qur'aan basi soma kama anavyoisoma "Ibn Amiiy" akimkusudia swahaba Abdullah Ibn Mas'oud hii ndio inaitwa ijaza.
Allah anasema waulizeni wanao fahamu kama nyinyi hamfahamu,na tunasomewa ya kuwa wanachuoni ni warithi wa mitume.
Na hili utalikuta kwa maswahaba pia,kwa maana walikuwepo maswahaba ambao ni wasomi wakubwa na wenye kutoa fatwa,hawa ulikuwa unaelekezwa kabisa kwamba ukitaka majibu kuhusu jambo fulani mfate fulani.
Hili likaenda mpaka kwa matabiina,ukisoma athari utaona hili kwa Imaam Atwaa bin Abi Rabaha,ilifikia hatua mtawala akasema haruhusiwi mtu kutoa fatwa hapa makka isipokuwa Atwaa na yeye Atwaa alikuwa ana kaimu kiti cha Sayyid bin Jubeir kama sikosei na huyu Atwaa alisoma kwa mama Aisha na Abdullah Ibn Abbas Allah awaridhie,kwa maana wasomi walijulikana na nafasi yao ilikuwa wazi,na hii ni kutokana na ikhlaswi yao na maarifa yao makubwa.
Sababu elimu huenda kwa kurithishana hilo limetufikia mpaka kwetu sisi na litaendelea.
Kwahiyo namba 3 ina asili toka kwenye Qur'aan,kutoka kwa mtume ikafanyiwa kazi na maswahaba kisha matabiin na kisha waliowafata wao mpaka imetufikia sisi.
nimekuuliza hiyo aya mtume kaifasiri vipi ?Huu sio msingi katika kufasiri Qur'aan na ndio maana nilikwambia huko nyuma aya hufasiriwa kulingana na muktadha na mtiririko ulivyo na kutokana na athari,ndio maana nimekuwekea hiyo aya ili ujue na uone kwamba hicho unachokiulizia sio msingi na hakipo.
Soma aya angalia wanazuoni wamefasiri kutoka kwa mtume au kwa maswahaba.
Ndio maana nakuuliza hivi huo msingi unao usema umeutoa wapi ? Naomba ujibu hili swali.
Sijui mtume ameitafsiri vipi hiyo aya. Naomba unisaidie wewe uniambie mtume ameifasiri vipi hiyo aya.nimekuuliza hiyo aya mtume kaifasiri vipi ?
nipe kauli ya mtume kafasiri aje hiyo aya ?
au aliiruka hakuifasiri ?
unanipa kauli ya ulamaa ametafsiri kwani w
kabla ya huyo ulamaa ilitafsiriwa vipi ?
Kazi ipo,ina maana hata aya hujaona ? Hadithi pia hujaona na athari pia hujaona ?sasa unadhani huyo abdallah saleh kaipata elimu ipi kama sio ile waliypiwacha masahaba hao ikapita na kupita mpaka kwa abdallah saleh ?
unafkiri abdallah saleh alikuwa hatoi fatwaa na a
alikuwa hatambuliki na utawala juu ya ilmu yake mpaka alipoenda kenya akapewa wadhifa kama ule wa zanzibar ?
mbonauna upinzani usio na mantiki kabisa.
kiufupi hakuna hoja ambayo umeiegemea ya kueleweka kutaja sifa za mwanachuoni.
bali umetoa maneno matupu.
kamauna uwezo toa sifa abazo amezitoa mtume ili ku2aua wana wachuoni tuondoe mzozo.
sio maneno matupu ambayo hayaeleweki hoja imejengewa wapi..
kwahyo maulamaa wametafsiri aya kea ufahamu wa nani kama mtume hajaifasiri ?Sijui mtume ameitafsiri vipi hiyo aya. Naomba unisaidie wewe uniambie mtume ameifasiri vipi hiyo aya.
Kisha uzipitie aya zako zote ulizo ziweka hapa uniambie mtume alizifasiri vipi.
Sasa unaniuliza mimi tena hili swali,jibu nilichokuuliza kwanza.kwahyo maulamaa wametafsiri aya kea ufahamu wa nani kama mtume hajaifasiri ?
wameupata wapi ufahamu huo ?
nimekuuliza hiyo elimu ya abdallah saleh kama sio wanawachuoni kuisambaza na kuirithisha ingemfikia yeye.?Kazi ipo,ina maana hata aya hujaona ? Hadithi pia hujaona na athari pia hujaona ?
Hivi nikikwambia elimu inaenda kwa kurithishana unaelewa nini ?
Nilipokwambia mtume alikuwa anawateua watu na kuwaweka katika nafasi zao na kuwapa ijaza,nikakutolea mfano wa swahaba Abdullah bin Mas'ud katika usomaji mzuri wa Qur'aan na kuna maswahaba walikuwa wanajulikana kwamba wao ni watoaji fatwa hiyo nayo pia ushahidi ?
Nilipokwambia warithi wa mitume ni wanazuoni hilo nalo sio ushahidi ?
Nilipokwambia Allah aliye juu anasema kutuambia "Tuwaulize wanao fahamu ikiwa sisi hatujui" huu nao sio ushahidi ?
Ngoja nikufundishe sasa,niliposema haya tunayo yaona leo yana asili kwa mtume,bali kabla ni kwa Allah aliye juu. Kama umesoma elimu ya Usul al Fiqh japo kwa uchache hili utaliona,wanazuoni huwa wanasoma nususi kisha wanaunda kaida kutokana na nususi hizo,na asili ni Qur'aan na Sunnah,kutokana na Qur'aan na Sunnah na athari zikatokea hizo sifa na pia mfano wake kama vile Qawaid l Fiqihiyyah. Sasa usiwe unapinga jambo ambalo huna elimu.
Ijaza ni msingi kwa kuwajua wanazuoni na ijaza ni msingi kwa kujua kwa nani ukasome na haya yana asili.
Sasa kama wewe unasema Shaykh Abdullah Saleh al Farsiy ni Mwanachuoni hatuwezi kufanyi kazi maneno yako sababu huna aliyekutangulia katika wasomi tunao wajua katika hilo,pili huna elimu ya kumjua nani mwanachuoni na nani sio kwa upeo wako bila kugemeza kwa wakubwa katika Elimu.
Nakupa kazi sasa,rejea katika Sahihi al Bukhar katika "Kitab al Ilm" na rejea katika kitabu "Muqadimmah fi Sahih Muslim" uone nafasi ya ijaza katika Uislamu.
Safi kabisa,kumbe unajua kama kuna wanachuoni,swali la msingi umewajuaje kama hao ni wanachuoni ?nimekuuliza hiyo elimu ya abdallah saleh kama sio wanawachuoni kuisambaza na kuirithisha ingemfikia yeye.?
Inaonekana huelewi unachokiandika bali hata ninacho kiandika.au abdallah saleh karithi elimu ambayo sio ile ya uislamu ?
Umejuaje kama Shaykh Abdullah Saleh al Farsy ni mwanachuoni ?kurithishana elimu sawakupo, je Abdallah saleh alispma kwa maajahili ndo mpaka aafikia pale sio ?
au unadhai mwanachuoni mpaka awe muarabu wa hukoo
Ulivyokuwa unaleta fasiri zako hukujua nafasi ya tafsiri ya mtume ?mimi sina tafsiri yamtume
Sijui wametumia nini,ndio uniambie wewe ambae huoni nafasi yao,inaonekana unawajua sana.ulamaa wamefasiri aya hiyo kwa ufahamu wa nani..?
au wametumiaakili, zao naufaamu wao kuifasiri ?
kamauna uwezo toa sifa abazo amezitoa mtume ili ku2aua wana wachuoni tuondoe mzozo.
na hao ulamaa walioleta tafsiri zao ha2sjui nafasi ya mtume..?Ulivyokuwa unaleta fasiri zako hukujua nafasi ya tafsiri ya mtume ?
Sijui wametumia nini,ndio uniambie wewe ambae huoni nafasi yao,inaonekana unawajua sana.
Kumbe vigezo vyako,nikajua ni kwa mujibu wa wanachuoni fulani.na hao ulamaa walioleta tafsiri zao ha2sjui nafasi ya mtume..?
shekhe abdallah saleh ni mwanawachuoni kwa sababu..
1.kasoma elimu ya dini na usomaji wake ni marufu unafahamika africa mashariki wafuatiliaji elimu na masheikh wengi wa sasa kama sio wote wanamjua kwa uzuri wa elimu yake.
2.lakini pia kaandika vitabu mbali mbali na jitihada yake kuisambaza dini
3.Amefundisha zanzibar mda mrefu na akatoka akafika kenya pia hali ikaea hivyo hivyo.
4.amejitahidi kutafsiri Qurani kwa kadri ya uwezo wake nayo ni jitihada kubwa kabisa na tafsiri yake imeenea africa mashariki.
haiwezekani tafsiri yake ienee alafu umchukulie powa tu kama mimi na wewe.
5.alijitahidi kulingania katika njia ya sawa sawa kumfuata mtume na masahaba zake ingawa nye ni kama wanachuoni wengine hupatia na Kukosea.
6.huwezi kumtoa shekhe huyu katika wasomi maarufu africa mashariki wanaotambulika kwa kazi zao,
kwasifa hizo zimenifanya nimuone huyo ni meanawachuoni na wala sina haja ya kutaka kujua ibn taymiyyah anasemaje kuhusu abdallah saleh.
au fawzan anasemaje kuhusu Abdallah saleh.
au ibn uthaymeen anasemaje kuhusu Abdallah saleh
hayo sitaki kujua kwa sababu hayana mashiko kabisaa, na haiwezekani mtu atoe tazkiya kwamtu ambaye hamjui.
kutaka sheikh abdallah saleh apewetazikyah na maulamaa wengine wakati labda hakusoma kwao huku ni kutoelewa kabisa.
sheikh Abdallah saleh kapewa tazkiyah na watu waliomfundisha wakati huo na akaachiwa duruus mbali mabli aziendeleze hapa zanzibar wakati huo angali anasoma.
hivyp ndo vigezo vyangu vya kumjua mwanawachuoni..
sheikh Abdallah saleh ni maarufu na huwezi kumtoa katika ulamaa wa africa mashariki katu..Kumbe vigezo vyako,nikajua ni kwa mujibu wa wanachuoni fulani.
Hakuna anae kataa ya kuwa Shaykh Abdullah Salehe al Farsy sio msomi ni msomi maarufu ila sio Mwanachuoni,kuna ngazi kulingana na elimu husika.
mkuu mokaze tafadhali naomba tafsiri ya hii ibara hapaa chini..[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1315]----- mtu nduki hapo, [emoji1787][emoji1787]
mkuu mokaze tafadhali naomba tafsiri ya hii ibara hapaa chini..
In a daunting warning, NASA predicts that the Sun will reach a so-called solar minimum by the end of 2019 or 2020, and when that happens, that star's central star will emit far less heat than normal, meaning that the mercury in the Thermosphere sinks and leads to a prolonged cold snap, which affects the weather on the surface of the planet.
My take;
If it's true, we are going to face major issues on this planet and life will be miserable.
[emoji848]kwenye orbit yake kwa mujibu wa wazungu..Ila Mimi nina amini dunia haizunguki...Jua linazunguka dunia na nyota za huko angani zina chaji jua kila siku..