Dunia inatutizama tunavyochezea Demokrasia

Km mtu ameuza madawa ya kulevya aachwe mtaani ?

Acheni kutetea jinai
Tatizo mnalazimisha kufanya aonekane anauza madawa ya kulevya.Hayo mambo yanashusha hadhi ya vyombo vya dola kwa umma.wananchi wengi mtaani wakisikia kesi za wapinzani wanahitimisha kwamba wamebambikiwa.vyombo vinaanza kutoaaminika tofauti Na zamani
 
Wananchi gani hao wanaotetea wauza madawa ya kulevya ?
Tatizo mnalazimisha kufanya aonekane anauza madawa ya kulevya.Hayo mambo yanashusha hadhi ya vyombo vya dola kwa umma.wananchi wengi mtaani wakisikia kesi za wapinzani wanahitimisha kwamba wamebambikiwa.vyombo vinaanza kutoaaminika tofauti Na zamani
 
Wanasiasa wa bongo si pinzani si sisiemu wote wangese jioni wanakaa meza moja wanakunywa kahawa kutung'ong'a wananchi.

Nilipiga kura 2015 na nijisamehe nafsi yangu kwa kuingia kwenye maigizo(circus) ya demokrasia.

sitapiga tena.
 
Na sisi tunawatizama wanavyoongeza ubaguzi ili watutawale kwa kutumia vibaraka wanaowapandikiza kwenye siasa za nchi hii.
Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.

Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.

Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.

Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.

Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?
 
Ni kweli chama cha siasa kinapoongozwa kama saccos, lazima tuiache dunia imeduwazwa na huku chama cha waigazija kikiwa na structure ya kuwa na Mtu kama Papa vile au Grand Ayatollah
 
Kwa hali ilivyo na muda uliobaki sidhani kama uchaguzi utakuwepo na hata kama ukiwepo tusitegemee kitu kinachoitwa UCHAGUZI katika uhalisia wake.

Jr[emoji769]
Right kabisa
 
Kudanganya kuwa Tanzania hakuna demokrasia ni utapeli wa kisiasa wa vyama vya upinzani baada ya kuona wazi hawatashinda uchaguzi. Ndiyo mana kelele zinaibuliwa zaidi na kwa nguvu kubwa sasa kuliko wakati wowote, ilihali sheria, mifumo, na tamaduni bado ni zile zile.

Alafu wanaopiga kelele hamna demokrasia ndiyo madikteta ndani ya vyama vyao, wakiamua jambo lolote bila kushirikisha kama "tusiingie bungeni" ni lazima utekeleze bila mjadala!
Na hao hao wanaopiga kelele hamna demokrasia ni viongozi wa kudumu kwenye vyama vyao, hakuna ukomo wa wao kugombea na akigombea mwingine ni lazima ashughulikiwe.

Alafu mtu kama huyu anapaza sauti Tanzania hakuna demokrasia, nchi ambayo ma-Raisi wake wanachaguliwa kwa kura, kwa vipindi visivyozidi terms mbili, na kutokana na chama tawala chenye michakato ya wazi ya kupata wagombea, na ambacho hakina kiongozi "mfalme".
 
Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.

Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika halmashauri au majiji yanayoongozwa na upinzani, ukosefu wa jukwaa huru kwa vyama vya upinzani kunadi sera zao na kadhalika.

Tuna miezi minne kabla ya uchaguzi na hakuna dalili za kuiboresha hali zaidi ya kuongeza hofu.

Wakati yote yanafanyika dunia imeelekeza taa yake kubwa kwetu (Makonda kuzuiwa kuingia USA) na mengine.

Tujitafakari na njia tunayochukua. Je, itakuwa na tija kwa Taifa letu?
Rubbish
 
Unataka demokrasia kama ile ya mababeberu mapolisi wanaoua watu hadharani?

Hatutaki demokrasia inayokuja na utamaduni wa Mabeberu, makonda amewekewa vikwazo Kwasababu aliwanyima mashoga ya Dar demokrasia kina Lissu wakaenda kumsemea.

Demokrasia yetu lazima izingatie utamaduni wetu
Waafrika ndiyo tuna shida
FB_IMG_15906481702097891.jpeg
 
Unataka demokrasia kama ile ya mababeberu mapolisi wanaoua watu hadharani?

Hatutaki demokrasia inayokuja na utamaduni wa Mabeberu, makonda amewekewa vikwazo Kwasababu aliwanyima mashoga ya Dar demokrasia kina Lissu wakaenda kumsemea.

Demokrasia yetu lazima izingatie utamaduni wetu
Huku kila kukicha police wanauwa ila hakuna anayenyoosha kidole.
 
Back
Top Bottom