Dunia inakwenda kasi sana

Hakuna tukio linalotokea kwa bahati mbaya eneo alilopo mkuu wa nchi kila kitu ni Planned na Scripted ipo team kwa kazi hiyo
 
Unaona mbuzi huyu? Anakula majani tu ndicho anachojua na kuwa Jiwe ndiye Mungu
Unaona mbuzi huyu? [emoji848][emoji44][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umeandika upupu wako hapa. Magufuli haeshimu ubinadamu wa watu wengine
 
Sijaongeza hata nukta mimi nimenukuu kama ilivyo.. Na wala sikufanya uchambuzi wowote
 
Naona umeandika upupu wako hapa. Magufuli haeshimu ubinadamu wa watu wengine
Wote ni sawa alietenguliwa na mtenguaji, maana mkubwa hajaeshim ubinadam kwa kumtaja hadharani tabia zake mtuhumiwa, na mtuhumiwa nae amuheshim ubinadam wa watu wengne kwa kula wake zao (kama ni kweli).
Siku ukiliwa mke wako ndio utajua ni fedhehea ya namna gani unaipata ni sawa na kuvuliwa nguo utembezwe barabaran.
 
Fair play
 
Kiongozi umeandika ya msingi sana ila kwa wale wenye mihemuko ya kichama bado wataona unamnyima sifa za kutukuka yesu wao
 
Kwangu Mimi nimeona Kama Drama. Ili watu wawe kwenye Peak trending.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…