Haina afya ktk utumishi wa umma, nampenda Magufuli ila aina hii ya utumbuwaji kiukweli inashusha iman kwa watu wenye akili nakupoteza sifa ya sheria zetu. Haki yakusikilizwa na kujieleza.".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais; Mama unaelimu gani?
Mteule; Nina masters in Public administration.
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*
Ni vilaza tu kwa hii ndio habari/kitu Cha ajabu,hawakushangaa chadema kuwatangazia wabunge wao wamefukuzwa Tena wakiwa bungeni bila kuitwa kuhojiwa Wala kupewa baruaMamlaka ya RAIS siyo madogo katika uteuzi,asubiri nini ilihali mamlaka anayo na anaimba kila siku kufanya kazi,afu watu wasubili eti mpaka akajifungie ndani na kina nani ndo ateue ili nini? Sema watu wengi humu ambao hua ni mabingwa wa kuponda hua ni kati ya wale wale walio tumbuliwa,walio zibiwa mianya ya wizi na wa vyeti feki..wanakua na hasira na wanakuja na mada za kuuaminisha uma ya kua mzee hafai,kwanza bila namna hizo waTanzania hawawezi kwenda,ni vichwa ngumu sana
Huna hata historia ya enzi za manabii uongozi ulikuaje? unadhani Rais ni kama mmiliki wa duka la ujenzi?Haina afya ktk utumishi wa umma, nampenda Magufuli ila aina hii ya utumbuwaji kiukweli inashusha iman kwa watu wenye akili nakupoteza sifa ya sheria zetu. Haki yakusikilizwa na kujieleza.
Kikwete akiona haya huwa anacheka hadi jino la mwisho . Haya yote yameletwa na BenYaani kama vile anagawa kuku wake kutoka bandani! Tumeliwa sana watanzania. johnthebaptist
Mamlaka ya RAIS siyo madogo katika uteuzi,asubiri nini ilihali mamlaka anayo na anaimba kila siku kufanya kazi,afu watu wasubili eti mpaka akajifungie ndani na kina nani ndo ateue ili nini? Sema watu wengi humu ambao hua ni mabingwa wa kuponda hua ni kati ya wale wale walio tumbuliwa,walio zibiwa mianya ya wizi na wa vyeti feki..wanakua na hasira na wanakuja na mada za kuuaminisha uma ya kua mzee hafai,kwanza bila namna hizo waTanzania hawawezi kwenda,ni vichwa ngumu sana
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Pale baba mwenye nyumba anapogundua house boy anamtafuna mama mwenye nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Haina afya ktk utumishi wa umma, nampenda Magufuli ila aina hii ya utumbuwaji kiukweli inashusha iman kwa watu wenye akili nakupoteza sifa ya sheria zetu. Haki yakusikilizwa na kujieleza.
Unashtuka unashangaa?daah
Hahahhhhhh hii inapatikana bongo tu".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais; Mama unaelimu gani?
Mteule; Nina masters in Public administration.
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*
Kwa Akili yako unaweza kudhani kuwa huyo DAS hakusikilizwa... Ukimsikiliza Mh rais amesema kuwa ALIMUONYA MARA KADHAA KUACHA HIYO TABIA LAKINI IKAONEKANA HAREKEBISHIKI (KIBURI/ALILEMAZWA NA TABIA YAANI ALIKUWA ADDICTED)Haina afya ktk utumishi wa umma, nampenda Magufuli ila aina hii ya utumbuwaji kiukweli inashusha iman kwa watu wenye akili nakupoteza sifa ya sheria zetu. Haki yakusikilizwa na kujieleza.
Hapa katumia mihemko,amekua kama mpiga debe anaropoka tu,kwanini asingemtumbua kistarabu,mengine yangebaki siri ya office..Karopoka tu ajui madhara yake..Kuna maneno mengine si ya kuongea kwenye kadamnasi ukiwa na wadhifa fulani wa juu!
Sawa hata mimi nasapoti kutumbuliwa,lakini ushahidi thabiti upo?alihojiwa na kupewa nafas ya kujieleza?huenda kuna mambo yako nyuma ya pazia hakuna anayejua.
Ingia kwenye anga zake upate vyako...mamlaka haiko kufurahisha kila moyo wa mtu kulingana na mawazo yake,ndiyo maana hata manabii na mitume walikataliwa na kupingwa na hata kuuwawa lakini walibaki kua ni manabii wa MUNGU mpaka keshoMamlaka ya kukutumbua anayo uende mahakamani kufanya nini?Angalau kapewa nafasi ya kupangiwa sehem ingine ya kazi,sio mbaya.
Mimi ninachopinga ni namna ya utumbuaji wake.