Dunia inaenda kasi, kulea mtoto wa kiume sasa ni kazi kuliko wa kike

Jambo likisemwa Sana na kusikika Sana masikioni, linazoeleka na kuanza kuonekana la kawaida, miaka ya nyuma ilikuwa ukisikia mtu Fulani shoga unaogopa na kuona kinyaa.., sasa hivi wapo wengi na hawana wasiwasi.
Kwa Sisi wazazi nadhani tutoe elimu Kwa watoto wetu WA kiume, tuwaambie nini maana ya kuzaliwa mwanaume, na mategemeo yetu kwao kama wanaume ninini. Kama mtoto ana akili ata chakata na kukaa Kwa Mstari, lakini kama akiamua kuwa hivyo believe me kama wazazi ni ngumu kuzuia, maana kuna wanaume wengi wameoa na Wana watoto na bado Wana kashfa ya ushoga.
Elimu wanavyo, na madhara kimwili na kiimani wanajua...tujiulize shida ninini???
Kipato??
Life style??
Utandawazi??
Evolution of nature??
Kuigana??
Haya tunahoji, kwanini hamtaki mashoga?
Mashoga kosa lao ni lipi?
Mbona kila siku mnawasakama? Haya tuambiane ukweli, wala mashoga ni akina nani? Hivi shoga anaweza kuwa shoga bila kufir** ? Kwann msipige kelele kwa hawa wala watu pia? Alafu pia mbona mnafumbia macho kwa wanawake? Kwani hakuna wanawake wanaoliwa love it live it?
Kama hichi kitu kina mazara kwenye jamii, inatakiwa kila mmoja apigwe marufuku na kukemewa, sio eti mliwaji tu ndo anaonekana mbaya eti mlaji ndio mjanja huu ni upuuzi wa mwisho.

Usikute mtoa mada ni mlaji pia.
 
Wanataka ulimwengu mzima uwe na magay gay hawa wangese kweli wanazingua,waambieni watoto wetu sisi tutawalea kama tulivyolelewa sisi malegendari sio kimayai mayai,ni nganganga yaani ugali na nyama ya tako la kenge.
 
Jambo likisemwa Sana na kusikika Sana masikioni, linazoeleka na kuanza kuonekana la kawaida, miaka ya nyuma ilikuwa ukisikia mtu Fulani shoga unaogopa na kuona kinyaa.., sasa hivi wapo wengi na hawana wasiwasi.
Kwa Sisi wazazi nadhani tutoe elimu Kwa watoto wetu WA kiume, tuwaambie nini maana ya kuzaliwa mwanaume, na mategemeo yetu kwao kama wanaume ninini. Kama mtoto ana akili ata chakata na kukaa Kwa Mstari, lakini kama akiamua kuwa hivyo believe me kama wazazi ni ngumu kuzuia, maana kuna wanaume wengi wameoa na Wana watoto na bado Wana kashfa ya ushoga.
Elimu wanavyo, na madhara kimwili na kiimani wanajua...tujiulize shida ninini???
Kipato??
Life style??
Utandawazi??
Evolution of nature??
Kuigana??
Sometimes maagano ya kishetani. Shetani ili akupe ukitakacho lazima ufanye mambo ya makufuru. Miongoni mwa makufuru ni haya
 
Inauma sana Kuna dada mmoja mtaani nimeskia katoto kake ka kiume Kuna wajinga wanakabandua, mwaka mpya Kuna mjinga walikakuta nacho wananchi wakampa kipigo mpaka maji kayaita mmmaaaaa..... Ila Kila nikiwaza naumia sana sijui hatma ya watoto wetu
Mwanaume kula sio shida ilimradi anajikinga vyema na magonjwa ila kuliwa ni shida anapoteza uanaume

Japo kama kweli tunataka kulitokomeza hili janga walaji wanatakiwa wafatiliwe tena nadhani hata kuliko wanaoliwa
 
Sawa wewe Kuna mtu anaweza kukushawishi akufire...au ulivyokuwa mdogo ulivyoshawishiwa kufirwa ulifirwa ?
Iko namna hii, kuna umri fulani kama ni mtu wa mambo hayo unakuwa tu unatamani mwenyewe, yaan sana sana at the age of secondary school, mpaka chuo huko. Sisemi kwenye ile hali ya utoto hapana, ni mtu mwenyewe anataman. Lakini kuna wale ugumu wa maisha wanaamua wenyewe kufirwa ili wapate vitu mfano mtu anatamani simu nzr viatu vzr au nguo nzr, anafirwa alaf anapewa. Nakumbuka nikiwa sec kuna jamaa mmoja alifirwa ili apewe rubber na akapewa siri ilivuja baadae. Lakini kuna wengine hutamani kwa kutaka kuonja inakuwaje radha yake hii inapelekea na kuangalia sana ngono za aina hiyo. Sipendi mtu anaewashawish watoto ndio maana nikasema wazazi wanajukumu la kuomba juu ya watoto. Si wa kiume tuu hata wakike, wasagaji wapo wengi sn na siku hizi watu wanapenda kuingia nyuma hata kwa watoto wa kike so ni kuwaombea watoto
 
Sawa we ulivyokuwa sekondari huko...hujawahi tamani kitu...mbona hukufirwa. That's my point hivi vitu havina Ushawishi ...au unashawishiwaga kupenda matako ..si we mwenyewe unayaangalia demu akipita... ndo hivyo na ushoga ..so ukiona mtu shoga ni hisia zake hamna mtu anaweza kumshawishi mtu hisia ambazo hana
 
Na wamemwaga pesa nyingi sana kuhakikisha ushoga unasambaa kwa Kasi sana,kwao pesa sio tatizo.
Kuanzia kwenye cartoon,toys,movies,music,nk wao hata jamii ikiharibika maadamu wanapata pesa toka chamani hawajali.
Ulinzi wa Mungu pekee
Acheni visingizio hapa, ushoga unatokana na utashi wa mtu husika.
Hata km kuna vishawishi sio kwa kiasi hicho.
 
Ushoga na homosexuality kwa ujumla, inachochewa na kukumbatiwa sana na wanawake.

Wanawake wanawakumbatia sana watu waliopo kwenye hayo makundi, na huwa wanawakubali na kuona wapo sahihi. Ndio maana mtoto anayelelewa na mama peke yake kuna possibility kubwa ya kuingia kwenye hayo magroup, hata kama alizaliwa bila kasoro yoyote.
Wanaume acheni unafikiii, wanaolala na kuwala mashoga ni wanawake? Wanao watongoza hao mashoga ni wanawake?

Nyie wanaume mkiacha kuwatongoza na kuwala hao mashoga, watatokea wapiii? Haijalishi wanawake wanakua marafiki zao, ni nyie wanaume ndo tatizo acheni UNAFIKI.
 
Kama mtoto wako ameharibiwa kosa sio la dunia shida ni mtoto mwenyewe ni shoga...tatizo watu hamtaki kukubali ukweli mnatafuta mtu wa kusingizia...mbona Kuna watoto wengi wakiume hawafanyi ushoga...ukiona mtoto shoga ni yeye anapenda hivyo na sio kwamba mtu sijui dunia
.. we unaweza kuwa influenced kusagana hata iweje...
Ukweliii mtupu huu.
 
Inauma sana Kuna dada mmoja mtaani nimeskia katoto kake ka kiume Kuna wajinga wanakabandua, mwaka mpya Kuna mjinga walikakuta nacho wananchi wakampa kipigo mpaka maji kayaita mmmaaaaa..... Ila Kila nikiwaza naumia sana sijui hatma ya watoto wetu
Walihoji hako katoto? Ukute hako katoto ndo kanatakaa kufanyiwa hayo mambo?
 
Mwanaume kula sio shida ilimradi anajikinga vyema na magonjwa ila kuliwa ni shida anapoteza uanaume

Japo kama kweli tunataka kulitokomeza hili janga walaji wanatakiwa wafatiliwe tena nadhani hata kuliko wanaoliwa
Ko wafiraji hawana kosa? Ila kosa ni mfirwaji? Bas ushoga kuisha mtausikia kwa bomba, Lol
 
Ushoga kwel upo na ni janga la dunia iyo inatambulika na inaeleweka
Ila kwa upande wangu kibongo bongo naona km hii ishu ya ushoga tunaikuza tu ila sizan km ni kubwa kias icho
Ujue weng tunapenda kuangalia miji mikubwa ambako ndo ushoga upo lakin ukifuatilia kiundan Tz inamikoa ming mdg mdg ambayo ishu ya ushoga kwao sio ttzo wala hawana janga la ushoga

Sizan km mzazi wa Mara anaweza kaa na kuwaza eti mwanae akienda kucheza anaweza lawitiwa sizan km mzazi wa Mara anajua km kuna ishu za ushoga nani tishio kwa kizazi chake

Ushoga kwa Tz mi naona ni km sisi watu wa mitandao ndo tunaukuza na kuutangaza ila ukija mtaani ushoga ni mdg sana na ni ngumu sana kuuona labda kwa wale wanaokaa dar ila ata mm ninae kaa Arusha ushoga upo ila sio mkubwa kias icho nani vgmu sana kishuhudia vitenndo vya ushoga na ulawiti
 
Tuache kuutangaza na kuukuza ushoga sisi ndio ttzo tunautanga za na kutukuza ushoga af mwisho wa sku tuna lalamika wenyewe
 
Back
Top Bottom