Dunia ina Watu takribani bilioni 2, je siku ya Hukumu Mbinguni Mwenyezi Mungu atatujaza katika Uwanja gani tuenee?

Afu ujue watu wanyuma nyuma wakiona wa mbele wanapelekwa wengi motoni.. wataomba msamaha halafu, tujikute wa safu za mbele tumeungua wenzetu wanaachwaa mi naomba siku hiyoo niwe nyuma nyuma niwe namlia timing cha kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujahesabu waliokufa maana nao watafufuliwa. Kama Mungu aliweza kuumba dunia hatashindwa kuiongeza.
Tutakuwa kwenye spiritual bodies kwahiyo tunaweza kuenea kwenye chumba kimoja.
Ninahamu kweli kukutana na King Solomon, Qeeen Shiba, Cleopatra nijue kama haya tuliyosoma juu yao ni ya kweli.
 
Inatia shaka kidogo kuhoji mambo yajayo ya mbiguni na umeshindwa kuhoji idadi kamili ya watu waliomo duniani.
Hata hivyo bado naamini hata tungekuwa bilioni ngapi Mungu hawezi shindwa pa kutuweka. Hili swali nalifananisha na yule anayehoji kuwa maghorofa na majengo mengi mazito yanaweza iangusha dunia kwa kuilemea na uzito.
 
Wenye Imani zenu na mnaojua vizuri Maandiko Matakatifu tunaomba msaada wenu tafadhali katika hili ili Sisi wenye dhambi 'tukuka ' tuanze kupiga ' jaramba / kujiandaa ' kuwahi Siti zetu tayari kabisa kwa Kufanywa Kuni kutokana na dhambi zetu / makosa yetu hapa Ulimwenguni.

Nawasilisha.
Meza petroli ili kuni zako zikawake vizuri. Idadi ya mijitu hapa duniani ukiondoa bongoland (yenye watu wasiojulikana) inakaribia billion 7.
 
nimeishia hapo kuna watu 2 bilion...

Usijadili sana Kukosea / Kukengeuka Kwangu kwa idadi hiyo ya Watu bali jikite zaidi katika jambo / suala husika. Kama ni Kukosea mbona hata aliyekupigia Bao hadi ukazaliwa alikosea kwani alitaka Mkewe mzalie Mtoto wa Kike lakini ukatokea ' Nguchiro ' Wewe wa Kiume?
 
Wenye Imani zenu na mnaojua vizuri Maandiko Matakatifu tunaomba msaada wenu tafadhali katika hili ili Sisi wenye dhambi 'tukuka ' tuanze kupiga ' jaramba / kujiandaa ' kuwahi Siti zetu tayari kabisa kwa Kufanywa Kuni kutokana na dhambi zetu / makosa yetu hapa Ulimwenguni.

Nawasilisha.
Milioni 7 acha fix,China na India peke yao wanazidi milioni 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijadili sana Kukosea / Kukengeuka Kwangu kwa idadi hiyo ya Watu bali jikite zaidi katika jambo / suala husika. Kama ni Kukosea mbona hata aliyekupigia Bao hadi ukazaliwa alikosea kwani alitaka Mkewe mzalie Mtoto wa Kike lakini ukatokea ' Nguchiro ' Wewe wa Kiume?
una matatizo hata uwezo wako wa kufikiri unamatatizo na stress....bila shaka umeachika na unaishi bila mume
 
Kuna binadamu jeuri kwelikweli. Ama kweli chanzo cha msiba ni mipango ya Mungu na nimekumisi swahibaa.
 
Kwa estimation ya 2002 watu waliokufa ni bilion 107 na sensa ya 2017 inasema tulio hai ni 7 billion, sasa wote parapanda itapigwa na wote wataamka na kusomewa yao, how? Sijui!
 
Mambo ya Mungu ni yaajabu sana,na ukiyafikria sana kwa kutumia akili za kibinadamu yanaweza yakakupoteza kabisa,watu wanaoonekana ni mabilioni ya watu kwa akili na kwa hesabu za kibinadamu,kwa hesabu za Mungu hao ni maelfu tu,kama siyo makumi kabisa kwa kuwa miaka elfu kwa hesabu za kibinadamu ni mwaka mmoja kwa hesabu za Mungu.
 
Back
Top Bottom