Dunia ina Mambo...

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
30
150
Kama ana hela na hizo sifa zote ulizotaja anazo. Vip unanishauri bado tusiowe.

Afu huu ujumbe umekaa kama jiwe la gizani. Inaonesha kuna boy kapost hilo gari na mhusika ka panick kuambiwa ukweli kaja maliza hasira huku

Ushauri wangu jifunze kuwa mke mwema na sio kutafuta mume mwenye hela utakuja nishukuru baadae
Read carefully before replying child.
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,838
2,000
The boring ain't bout the handwriting,
It's the truth behind the handwriting that bores you.
Anyone reading and accepting what I've written won't complain it's boring.
By the way reading and commenting it's optional no one forces you to read
With love
Jacky.
Ukaona uweke English waone ilikuwa makusudi siyo illiterate kuandika vile hahaaa

Relax
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,462
2,000
pisi jacky,

Una hoja ya msingi, sema jitahidi bhana hapo kwenye "r" na "l"....

"Mala" badala ya "mara?! Hapana aisee!!

Maybe asili yako ndio mzizi wa tatizo but try harder!!

Inawezekana hufahamu, but trust me, it's boring!!

Very boring.
 
ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,771
2,000
Nilipokuelewa ni pale tu si lazima uoe mwanamke mwenye kipato kikubwa...

Ila huku kwingine ni kumtia uoga mwanaume kwamba asipojisimamia atagongewa...

Nachojua Mimi ukioa malaya utagongewa tu km sio leo kesho,na ukioa mwanamke mwaminifu haitakaa itokee,Simpleeee.

Mtu anafanya like kilichopo moyoni mwake.Mfano mtu akiibiwa simu yake Kuna atakayefunga na kuomba Mungu amlipizie kisasi,Kuna atakaenda polisi na Kuna atakayeenda kumtia mtu busha.Wote wamefanya maamuzi tofauti ku solve ishu moja.

Washauri wasio vicheche
 
ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,771
2,000
Unatwanga maji kwenye kinu, wanapotongoza wako busy kwanza kujua ,'huyu dada anafanya wapi kazi? Mshahara wake shilling ngapi?

Hawanaga akili hawa, hawajui kiumbe mwenye mkono wa kutoa duniani ni mwanamke! Mwanamke ukimpenda kwa vitendo, hakuna shida utapata akae kimya, yupo tiyari kukopa kwa mama yake kisiri adanganye ila akupatie hela.
Mwanamke yupo kama hana hela yupo tiyari kukukopea kokote umalize shida yako. Yupo tiyari kukopea mshahara wake awe anakatwa kidogo.
Nawazaga wanaume wengine kama akili haziko kichwani ziko wap?
Hapa labda unajizungumzia wewe

Sio wanawake tunaowajua sisi majority ni wachoyo wa asili
 
pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
30
150
Nilipokuelewa ni pale tu si lazima uoe mwanamke mwenye kipato kikubwa...

Ila huku kwingine ni kumtia uoga mwanaume kwamba asipojisimamia atagongewa...

Nachojua Mimi ukioa malaya utagongewa tu km sio leo kesho,na ukioa mwanamke mwaminifu haitakaa itokee,Simpleeee.

Mtu anafanya like kilichopo moyoni mwake.Mfano mtu akiibiwa simu yake Kuna atakayefunga na kuomba Mungu amlipizie kisasi,Kuna atakaenda polisi na Kuna atakayeenda kumtia mtu busha.Wote wamefanya maamuzi tofauti ku solve ishu moja.

Washauri wasio vicheche
Nature is nature mwanaume always anatakiwa aheshimiwe na mwanamke apendwe utatetea sana but asili ya ndani hua haijifichwi and remember always respect is earned. tofauti na upendo
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,141
2,000
Leo Arsenal tunapasua mtu. Hizi timu ndogo Everton, Leeds & co kimefika kipindi cha kuonyesha their true colors.

Wale mnaofurika page ya IG ya Villa kutukana mjiandae.
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
13,257
2,000
Jiwe gizani ukisikia "paaaaah" limefika sehemu husika lol. Wahusika wana haha uwiiih
 
Member to remember

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
1,302
2,000
Leo Arsenal tunapasua mtu. Hizi timu ndogo Everton, Leeds & co kimefika kipindi cha kuonyesha their true colors.

Wale mnaofurika page ya IG ya Villa kutukana mjiandae.
Elneny na Partey bila kumsahau gabriel hizi ndio nguzo zetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom