Mi ninaamini kwasaabu zimeshawahi kutokea watu ninaowajua😅naam sasa wewe jibu hilo unaona linaleta mantiki? maana ndo jibu lao kwamba bank sasa ndo kuna uchawi mkubwa kuliko wote, au kuingia bungeni lazima uwe umejipanga haswa maana sio poa hata kidogo --- kumbe ni mambo ya kwenda sawa na wenye system tu.
au story za kuibiwa mazao shambani kwa njia za kichawi ila njia hizohizo hazifanyi kazi kwenye maghala ya mazao
hii ni michezo mkuu
mkuu shinda tunapitia nyingi sana, na tiba moja wapo ni kuzikataa story za namna hii.
we unaamini hizo mambo?
Kwa vp afrika ingekuwa tajiri kupitia huo uchawi kama kweli uchawi ungekuwepo na unafanya kazi?Uchawi ungekuwepo kweli na ungekuwa unafanya kazi kweli, Africa ingekuwa bara tajiri sana.
Kila mwafrika angetajirika kupitia huo uchawi.
Uchawi siku zote una aminiwa na watu wajinga na watu duni maskini.
mambo ya utata kuhusu uwepo wa Mungu sijaona, kwenye uzi nimeona mambo ya uchawi tu mkuu, na ndo nayoyajadiliSawa kwa mtazamo wako umewaza hivyo ila mimi sifundishi njia za giza nimeweza uzi kufungua macho kwa wale ambao wanautata kuhusu uwepo wa mungu, na hapo juu nimeshaeleza kuna baadhi ya vitabu vipo direct sana na kwa mazingira na maisha yetu ni rahisi sana mtu atamani kujaribu
Shuhuda za watu ambao wamepata side effect ya kujua hayo mambo zipo nyingi sana na zingine huwa hazisemwi tunaziona tu kupitia mabadiliko hasi ya mtu
UNa hoja nzito ila kuna sehem unachanganya kidogo, unachanganya kati ya mazingaombwe na uchawi kamilinaam sasa wewe jibu hilo unaona linaleta mantiki? maana ndo jibu lao kwamba bank sasa ndo kuna uchawi mkubwa kuliko wote, au kuingia bungeni lazima uwe umejipanga haswa maana sio poa hata kidogo --- kumbe ni mambo ya kwenda sawa na wenye system tu.
au story za kuibiwa mazao shambani kwa njia za kichawi ila njia hizohizo hazifanyi kazi kwenye maghala ya mazao
hii ni michezo mkuu
mkuu shinda tunapitia nyingi sana, na tiba moja wapo ni kuzikataa story za namna hii.
we unaamini hizo mambo?
Ninaishi mitaani na huwa ninazisikia sana hizi story zinavyoelezewa kwa bashasha na watu wenye IQ ndogo. Wengine bongo zetu zinafikiri logical sana kiasi kwamba tunaweza kuona kirahisi tu hayo matobo ya wazi kabisa kwenye story za Uchawi.Duhh au nyinyi hamuishi mitaa tunayoishi sisi?
Anyway wewe unataka uchawi upi? Ule wa quran(sio mgumu kama inavyodhaniwa kwasababu inatumia maneno ambayo yamezoeleka)mambo ya utata kuhusu uwepo wa Mungu sijaona, kwenye uzi nimeona mambo ya uchawi tu mkuu, na ndo nayoyajadili
majibu ndo hayohayo kila siku mkuu, weka vitabu hivyo kila mtu akashuhudie mwenyewe sio watu wakubaliane na wewe kwa stori hizo.
hapa utawapiga mistari mwisho utakuja kusema mambo ya uchawi ni siri
inategemea mkuu, japo hata baadhi ya magonjwa hivi sasa zamani yalikua ni uchawi ila ghafla yamekua ni magonjwa watu wanapigwa tiba maisha yanasonga,Mi ninaamini kwasaabu zimeshawahi kutokea watu ninaowajua😅
naomba msichanganye mambo ya uchawi na uganga, uchawi ni sayansi tofauti na uganga mkuu!Kwa vp afrika ingekuwa tajiri kupitia huo uchawi kama kweli uchawi ungekuwepo na unafanya kazi?
Ndio hao wawili sasa uliokutana nao kati ishirini, sio uchawi.Sasa hio ni 1/10 tena wa kuwatafuta kwa Tochi maana ni wachache sana
Uchawi labda ni Sayansi ya wapumbavu.naomba msichanganye mambo ya uchawi na uganga, uchawi ni sayansi tofauti na uganga mkuu!
😂😂😂Ninaishi mitaani na huwa ninazisikia sana hizi story zinavyoelezewa kwa bashasha na watu wenye IQ ndogo. Wengine bongo zetu zinafikiri logical sana kiasi kwamba tunaweza kuona kirahisi tu hayo matobo ya wazi kabisa kwenye story za Uchawi.
Jana tu asubuhi kuna mtu alitaka kunizidishia chenji elfu tano, kama nisingemrudishia sio ajabu jioni angekuwa anapigia watu story za chuma ulete.
Hebu tueleze, naona somo jingine hilinaomba msichanganye mambo ya uchawi na uganga, uchawi ni sayansi tofauti na uganga mkuu!
Nashukuru sana. Ila naomba nikupe mfano mdogo tu dunia kwa sasa inatifutana juu ya umiliki wa mabomu ya nyuklia hiyo haimaanishi elimu yote inayohusu mambo ya nyuklia imefichwa, kinachosomwa ni kile ambacho hakina madhara ila ile deep kabisa ile ya supercritical mass huwezi kuipata kizembeNimefika hapo kwa vitabu hatari nikaacha kusoma. Yaan kitabu kikaandikwa hadi umekisoma wewe kimekua cha hatari? Mimi hapo nimeshndwa kuelewa
Na wewe?😂😂😂
Wewe utakuwa unaishi mjini tu!
Kuna beki tatu wetu mmoja alikuwa anamlea bibi yetu(rip) alikuwa mganga, aisee mambo aliyokuwa anatusimlia ni balaa… kwanza aliambiwa akiacha uganga hatozaa, walijuaje kama hatozaa kweli? Mpaka kwaho anahangaikaga huyo mama hana mtoto yuko 40s sasa, alishaend ahospital za kila namna hana ugonjwa wala nini, dawa za kienyeji, akaamua kuokoa anakesha kwenye maombi, akarudi tena kwa waganga, akabadili wanaume lakini hola!
Sasa hio hio 1/10 ndio Wachawi, nadhani tunaelewana ila unajifanya hunielewiNdio hao wawili sasa uliokutana nao kati ishirini, sio uchawi.
uchawi ni nini mkuu? yani upojeKwa vp afrika ingekuwa tajiri kupitia huo uchawi kama kweli uchawi ungekuwepo na unafanya kazi?
Najiuliza huo uchawi ni mifuko ya cement na kokoto hadi utake ujenga barabara na viwanda? Sijaelewa kwanini uchawi umehusisha na ujenzi wa barabara na viwanda, nauliza kwa sababu najua kila kitu kina mahali pake ndio maana nivutiwa kutaka kujua kwanini umeuweka huo uchawi kwenye masuala ya ujenzi?uchawi hauna maana yeyote mkuu.
fatilia huu uzi uone maswali atakayo ulizwa mleta mada na majibu atakayotoa.
mwisho huu uchAwi tunataka kama upo utende kazi positive na tuzione, kama haujengi barabara, viwanda, kutibu magonjwa basi hauna umuhimu
MweweNa wewe?