Miss Malima
Member
- Feb 5, 2013
- 39
- 5
So sad!!!! Atakua na ugonjwa wa akili huyo baba
block 41 sehemu gani hiyo?maana ndio kwetu huko.hee dunia hii,huyo mzee zinamtosha kweli?Hili tukio halisi mm nimepanga hapa block41 kino
ndio makosa wanayoyafanya familia nyengine.mtu amtu amuingilie ndugu au mtoto,eti wanasema watayamaliza kifamilia,is wrong kwa sababu ni kama unaendelea kufuga huo uchafu.huyo mtu ataendelea tu na mchezo wake mchafu.kuna mama mmoja hekaheka,alimshtaki mumewe kwa kumuingilia mdogo wake huyo mama mwenye miaka 7 kama sikosei.huyo mama nampa hongera,maana alisema huyo mume majirani wote ameshatembes nao na mahaose girl wote ameshatembea nao.lakini swala la kumuingilia mdogo wake mdogo lilivuka mpaka.alisema anaogopa ipo siku anaweza akawaingilia watoto wake.maana amemvumilia sana na huo uzinzi wakeNa huyu baba juzi kafikishwa kituo cha msaada wa sheria hapo kinondoni,ndugu wa bwana wakaja wakimsema mama wa jirani kwamba hakitakiwa kufika kwenye sheria ni swala lingeisha kifamilia!!! Nauliza huyu mama wa jirani akinadili msimamo watakuwa wametenda haki😕
hapa nikiua mtu ntashtakiwa?
eti Ruttashobolwa
hapa nikiua mtu ntashtakiwa?
eti Ruttashobolwa
Na huyu baba juzi kafikishwa kituo cha msaada wa sheria hapo kinondoni,ndugu wa bwana wakaja wakimsema mama wa jirani kwamba hakitakiwa kufika kwenye sheria ni swala lingeisha kifamilia!!! Nauliza huyu mama wa jirani akinadili msimamo watakuwa wametenda haki😕
NATA ni baadhi ya wababa....................Mh nadhani sasa baada ya kupima ukimwi wababa wamalizie na kupimwa akili kabla ya ndoa. Huu ni ukatili na uaji kabisa, huyu baba atakuwa na akili timamu kweli?
Don get me wrong, I mean if that is a case then the man must be insaneUongo uko wap?hiyo miaka mi3 au nn,uovu unatendeka sana huamini,fika pale WLAC Kino manyanya muulizie legal officer yeyote kama kesi hawazipokei