Dunia imeisha!

Dunia imeisha!

Pamoja kwamba sijasoma comments zote lakini mtoto wa miaka mitatu aingiliwe mbele na nyuma tena kila siku akili inagoma kuamini.

Daaaah kama ni kweli basi ni ukatili uliopitiliza ambao ni kwa imani za kishirikina tu unawezekana.

...kangeshakufa au kangeoza,au jamaa anakibamia cha mtoto...
 
Sio kweli hii habari kila siku.....! Huyo mama angefahamu tu hata wakati wa kumuogesha,
 
Mi mke wangu akirudi nyumbani haulizi hata mtoto alishinda vipi,mm ndo humkagua kama hausigeli hakumsafisha vizuri na mengineyo,lkn wanawake siku hizi ni total failures.
 
Miaka mitatu je mama mtu katika mwaka mzima inamaana hana hata siku moja yakumuosha mwanae,Maana kama angemuogesha angemtawaza na angegundua tofauti ya mwanae,Eee Mwenyezi Mungu tuhurumie sisi wanawake na watoto wetu ,niuchungu ulioje huyo mama alioupata maskini.???
 
Hii ni hadithi ya kutunga. Kama huyu Bwana anatoka kwamba anakwenda kazini na kweli kazi anayo inskuwaje kila siku arudi nyumbani kufanya huu ufirauni? Hiyo kazi anafanya saa ngapi? House girl anakuwa wapi? Mtoto wa miaka 3 afanyiwe unyama huu halafu hata mama yake na mtoto asigundue anapomuosha mtoto?

Uongo mtupu.

Tiba
 
Sikatai ila nahakika ile ndude haikuwahi kuzama! alikua anakapiga brush tu.
No way nilazima ingejulikana!
 
God forbid... Hivi mtu unakuwa hadi na tamaa kwa mwanao tenaa mwenye miaka 3 ambaye hana hips wala ---- la kukutamanisha? Hata angekuwa mzurije, still she is ur daughter. Huyo housegal ipo siku na yeye angebakwa tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom