Dunia imeamua kujitoa ufahamu: Inadai Yerusalemu siyo mji mkuu wa Israel

Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
805
1,000
nimejifunza haya tangu utoto wangu...vitabu vya torati..mpaka malaki...Mathew to revelation... kila sehemu unaona jinsi Israel walivyoasi na jinsi Mungu alivyorudisha kwa namna mbalimbali
Ni kweli, waliasi kwa kila namna na Mungu alitumia uwezo wake kuwavulimilia na kuwasamehe na kuwapenda, pamoja na kua walikua wakiwauwa manabii wa Mungu, Mungu hakuchoka. Akamtuma Mwanae ambae na yeye walimkataa na kumuuwa....

So walivyo mtundika tu msalabani Yesu, likatimia lile neno walilojiapisha kua damu yake na iwe juu yetu...

Then.... Mwaka 70 AD Wakachapwa.
Waliopona ni wale wachache waliokua watiifu kwa Mungu.

Na tangu hapo mpk kesho Waisrael wametawanyika duniani kote
 
kingos

Member
Dec 30, 2013
39
95
Nxjowm
733dn
IMG-20171207-WA0049.jpg
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Jumapili hii wakristo waafrika watakua kanisani wakiiombea israel ili hali kwa uchache wa wakristo israel ni negligible very few, nawasihi wafanye mambo ya maana kama kuwaombea walioanzisha ukristo (waroma)

Tukiacha hayo ndugu zanguni wabantu inabidi tujiandae kurudi kongo nyumbani maana nyumbani kwetu kule bado panatuhitaji waswahili wanasema mkimbia kwao ni mtumwa.

In other news for the way how the universe is big The Almighty God is to great to just be a God of someplace insignificant like israel or even just planet earth or even the milkway galaxy hapa wataelewa wale wanaojua universe ni nini na ipoje just so you know akili za kuambiwa changanya na za kwako
Nyerere hajawahi kuwaunga mkono wana Waisrael hawa wa kizushi, hata siku moja hajawahi, japo alikuwa ni mkatoriki pure.
 
Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
805
1,000
ukisoma ufunuo wa yohana hata ramani ya mbinguni iko kulingana na Israel... makabila 12 ya Israel... na mambo mengine mengi kuna watakaoamni na watakaokataa na watakao jikoa wenyewe na vingine vingi
Tusiende huko na tusichanganye mambo......

Tujikite ktk kitu kimoja
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,906
2,000
Sheria za ardhi, nadhani hili limitation ya muda ipo kwa Common law legal system,,, na sidhani kama zinapishana sana, ukikaa ktk ardhi na kuitumia, kwa muda wa miaka 12, huku pasi na kuwa na uelewa kwamba hilo eneo lina mwenyewe, na hajajitokeza hata ikamalizika hiyo miaka, hata akijitokeza, amepoteza Haki zake.
Hawezi kuipoteza ila inategemea na nguvu alizonazo! Kama akiwa na nguvu kubwa, anachukua haki yake kwa nguvu! Ndivyo Israel alivyofanya! Anajua kabisa kuwa hakuna atakayempa haki yake bali anaichukua kwa nguvu! Hakuna asiyejua kuwa Yerusalemu mashariki ndio mji wa kale ambako historia ya wayahudi na wakristo imejikita. Kuna mpaka makaburi ya wahenga wao!
Walitekwa na kupelekwa uhamishoni! Waliporudi wakakuta waarabu wamekalia maeneo yao muhimu! Wakajua kabisa hawawezi kurudishiwa kwa hiari! Hivyo wakalazimika kutumia nguvu kurudisha kilichokuwa haki yao na Mungu alikuwa upande wao! Wewe haushangai taifa dogo na changa likaweza kuwachapa majeshi ya waarabu kombaini ( misri, Syria, Iran, Iraq etc) ndani ya siku saba! Rais Nasser wa misri alishikwa na kihoro na mshtuko akafa!
 
laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,016
2,000
Unasema kitu ambacho hakipo! Tangu taifa LA Israel liliporejea kwenye ardhi yake mwaka 1948 walirejesha Yerusalemu magharibi kwa nguvu na wakaufanya makao makuu! Kisha mwaka wa 1967 wakarejesha sehemu iliyokuwa imebaki ya Yerusalemu mashariki kwa nguvu pia baada ya kuyachapa majeshi na kuyarudisha nyuma majeshi ya waarabu! Tangu mwaka 1967 mji wote wa Yerusalemu ukawa mikononi mwa wenye haki Nao! Waarabu wanaoishi hapo wanaishi kama wakazi na si RAIA wa Israel.
hao waisrael walirejea kutoka wapi hiyo 1948?....u halafu wayahudi halisi wa enzi za Musa walikuwa weusi hao wayahudi wazungu wametoka wapi?..........wapalestina nchi yao ni hiyo hiyo Israel kwa hiyo wapalestina watabanana hapo hapo yerusalem na waisrael mpaka mwisho wa dunia hii..........Israel hakuna myahudi ni makundi ya wapoland na wazungu wa magharibi huko waliokusanywa na umoja wa mataifa mwaka 1948 na waisrael hawajawahi kupigana na waarabu waliopigana na waarabu ni marekani taifa la israel limeundwa na marekani kwa maslahi yao binafsi
 
Shareef Conscious

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
514
500
hii kitu inanipaga raha sana nikiiona tu nashuka moja kwa moja kwenye comments....waafrika sie sijui jerusalemu yetu ni ipi..manake mapovu hapa yanawatoka watu balaa..wayahudi hawawatambui wala kuwathimini waafrika kivile (read: wao dini yao ni judaism sio ukristo)..waarabu hawaathamini wabantu kivile (read: uislam sio ishu..ukabila/race ndo mambo yote)..tuendelee tu kutoka povu kwa ajili ya watu wa mashariki ya kati ilihali wao hawapotezi hata chembe ya usingizi kwa miafrika....shikamooni watu weupe (waarabu na wayahudi kwa tafsiri yangu hapa)....
Ukiona mwenzako ananyolewa zako tia Maji
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,470
2,000
una jiita mbinguni kwenu lakini inashangaza unadanganya hazarani!!! Hekaku la Yerusalemu lilivunjwa na kuchomwa na jeshi la Kiroma 70 WK na sio Waarabu. Waarabu walikuja 600WK kipindi Wayahudi washasambazwa duniani kote.
Na kwa Wakristo waliokuwa makini kiroho hawakushangaa 7bu Yesu alikua amewapa muongozo na mwisho wa Yerusalemu (soma Mathayo 23:37-39)
Dalili za uharibifu wa Yerusalemu ziko hapa (soma Luka 21:20-22)
Kwa Mkristo wa kweli hawezi kuiona Yerusalemu kuwa ni mji wa kidini
Hapa siyo suala la dini. Dini kuna waisrael ni wayahudi, ni wakristo na waislamu pia.

Kubwa katika hili ni identity, watu wanataka utamaduni wao utambulike. Israel toka enzi Jerusalem imekuwa ni mji wao mkuu, sasa kuvamia kwa watu wengine hakuwezi kubadili historia hiyo.

Mji uwe ilivunjwa na warumi(papas), au wajehdina(islams) hakuondoi ukweli kuwa Jerusalem ni mji mkuu na muhimu wa Isreal.

Warabu warudi walikotokea, kila mtu ana kwao
 
Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
805
1,000
Hawezi kuipoteza ila inategemea na nguvu alizonazo! Kama akiwa na nguvu kubwa, anachukua haki yake kwa nguvu! Ndivyo Israel alivyofanya! Anajua kabisa kuwa hakuna atakayempa haki yake bali anaichukua kwa nguvu! Hakuna asiyejua kuwa Yerusalemu mashariki ndio mji wa kale ambako historia ya wayahudi na wakristo imejikita. Kuna mpaka makaburi ya wahenga wao!
Walitekwa na kupelekwa uhamishoni! Waliporudi wakakuta waarabu wamekalia maeneo yao muhimu! Wakajua kabisa hawawezi kurudishiwa kwa hiari! Hivyo wakalazimika kutumia nguvu kurudisha kilichokuwa haki yao na Mungu alikuwa upande wao! Wewe haushangai taifa dogo na changa likaweza kuwachapa majeshi ya waarabu kombaini ( misri, Syria, Iran, Iraq etc) ndani ya siku saba! Rais Nasser wa misri alishikwa na kihoro na mshtuko akafa!
Mungu hakua upande wao... Sema America ndio yuko upande wao
 
kangau

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
260
500
We ukweli unaujua?? Una uhakika gani kama hao wanaojiita waisraeli ndo waisraeli wakweli, au media tu ndo inakuaminisha ivo
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
hivi ilikuwa vipi katkati ya mataifa ya kiarabu kukaw na Taifa la wazungu? kuna watu watasema ni mpango wa Mungu?
Wapi hapo? Kama ulimaanisha Israel nao ni wazungu umepotea, hii nayo ni race. Si wazungu, waarabu wala waafrika hao.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,292
2,000
37 “O Jerusalem, Jerusalem, the one who kills the prophets and stones those who are sent to her! How often I wanted to gather your children together, as a hen gathers her chicks under her wings, but you were not willing! 38 See! Your house is left to you desolate; 39 for I say to you, you shall see Me no more till you say, ‘Blessed is He who comes in the name of the Lord!’ ”Mkuu soma huo mstari wa 38....

Hapo Yesu alikua anawachana live kua nyumba yao sasa imekua sagula sagula..

Ukitaka tujifunze niambie tuanzie mwanzo kabisa
.
Hakuna haja ya kuandikia mate wino huu hapa.
d7262b6ed78d51ee25bb8da00e49159e.jpg
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,906
2,000
Ndio hapo sasa, kama ingekuwa hivyo kila mtu arudi kwenye asili yake dunia ingekuwa fujo tu
Uzuri ni kwamba mnakubali hapo Yerusalemu ndio asili ya wayahudi japo mnaona kwa kuwa alifukuzwa hastahili kurudi. Jibu ni kuwa wayahudi waling'olewa Jerusalem kwa nguvu na wamerudi kwa nguvu! Kufananisha na wamakonde waliotoka afrika kusini au Watusi toka Ethiopia siyo sahihi maana hawa walitoka huko kwa hiari na hawana haja ya kurudi huko! Lakini wayahudi walitolewa kwa nguvu na wana haja ya kurudi kwenye nchi na miji yao!
 
laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,016
2,000
Hawezi kuipoteza ila inategemea na nguvu alizonazo! Kama akiwa na nguvu kubwa, anachukua haki yake kwa nguvu! Ndivyo Israel alivyofanya! Anajua kabisa kuwa hakuna atakayempa haki yake bali anaichukua kwa nguvu! Hakuna asiyejua kuwa Yerusalemu mashariki ndio mji wa kale ambako historia ya wayahudi na wakristo imejikita. Kuna mpaka makaburi ya wahenga wao!
Walitekwa na kupelekwa uhamishoni! Waliporudi wakakuta waarabu wamekalia maeneo yao muhimu! Wakajua kabisa hawawezi kurudishiwa kwa hiari! Hivyo wakalazimika kutumia nguvu kurudisha kilichokuwa haki yao na Mungu alikuwa upande wao! Wewe haushangai taifa dogo na changa likaweza kuwachapa majeshi ya waarabu kombaini ( misri, Syria, Iran, Iraq etc) ndani ya siku saba! Rais Nasser wa misri alishikwa na kihoro na mshtuko akafa!
waliopigana na waarabu ni marekani kwa mwamvuli wa israel.........israel hawana uwezo wa kupigana hata na al shabaab!.......Yerusalem kuna historia pia ya waislam hapo ! Israel wakristo ni asilimia 2 tu waislam ni asilimia 17 na wayahudi asilimia 75......wayahudi ni wapinga kristo na hawamuamini Yesu............ndio maana hitler aliwaua wayahudi kwa sababu walikuwa wanapingana na kristo...!.........wayahudi dhumuni lao kubwa ni kufuta dini mbili ukristo na uislam na kuisimika imani yao ya kipagani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom