Dunia imeamua kujitoa ufahamu: Inadai Yerusalemu siyo mji mkuu wa Israel

.
Hakuna haja ya kuandikia mate wino huu hapa.
d7262b6ed78d51ee25bb8da00e49159e.jpg
OK... Mkono wa Mungu haupo juu yao ndio maana ya kuachwa ukiwa
 
Yani hapa nashangaa watu kujifanya vipofu, watu almost wote ni wahamiaji kila mtu akisema arudi alikotoka adai eneo lake hata huyo Trump na wenzake inabidi waiachie Marekani kwa Red Indians
Tofautisha kuondoka mahali kwa hiari na kuondolewa mahali kwa nguvu. Ukiondoka kwa hiari huhitaji kurudi, ukiondolewa kwa nguvu unahitaji kurudi! Wayahudi waliondolewa kwa nguvu na walivyorudi wakaamua kutumia nguvu kurejesha ardhi na miji yao!
 
Uzuri ni kwamba mnakubali hapo Yerusalemu ndio asili ya wayahudi japo mnaona kwa kuwa alifukuzwa hastahili kurudi. Jibu ni kuwa wayahudi waling'olewa Jerusalem kwa nguvu na wamerudi kwa nguvu! Kufananisha na wamakonde waliotoka afrika kusini au Watusi toka Ethiopia siyo sahihi maana hawa walitoka huko kwa hiari na hawana haja ya kurudi huko! Lakini wayahudi walitolewa kwa nguvu na wana haja ya kurudi kwenye nchi na miji yao!
wayahudi halisi wana wa Jacob walikuwa weusi hao wazungu wanaojiita wayahudi ni feki ndugu.......hata wamisri wanashangaa wayahudi waliochukuliwa utumwani kwao walikuwa weusi hao wayahudi weupe wazungu wametoka wapi?.............hao wayahudi wa sasa hivi ni feki tu wana asili ya poland na germany
 
naona umeingiza kejeli na ujuvi..elimu yako saizi ya kijiko cha chai unamuona kila MTU hajui..kwa hiyo aya hazishuki mpaka pawe na sababu!?..hzo asbaabunn zul kila MTU ana yake..ushanitia na ukafiri kisa nimeweka aya..elimu haba udhia,wanaokufundisha wakufundishe busara na nidhamu

Aya gani imeshuka bila sababu??
naona umeingiza kejeli na ujuvi..elimu yako saizi ya kijiko cha chai unamuona kila MTU hajui..kwa hiyo aya hazishuki mpaka pawe na sababu!?..hzo asbaabunn zul kila MTU ana yake..ushanitia na ukafiri kisa nimeweka aya..elimu haba udhia,wanaokufundisha wakufundishe busara na nidhamu
hebu jibu acha bla bla kuna msikiti wa al agsa hapo
IMG_20171208_205357_913.jpg
uongo ni jihad eeh
 
Hapa siyo suala la dini. Dini kuna waisrael ni wayahudi, ni wakristo na waislamu pia.

Kubwa katika hili ni identity, watu wanataka utamaduni wao utambulike. Israel toka enzi Jerusalem imekuwa ni mji wao mkuu, sasa kuvamia kwa watu wengine hakuwezi kubadili historia hiyo.

Mji uwe ilivunjwa na warumi(papas), au wajehdina(islams) hakuondoi ukweli kuwa Jerusalem ni mji mkuu na muhimu wa Isreal.

Warabu warudi walikotokea, kila mtu ana kwao
waaarabu na waisrael wote hao wametokana na uzao wa abraham....waarabu wako israel pale ndio kwao alipoishi baba wa asili yao abraham kwa hiyo israel ni nchi ya wote waarabu na wayahudi
 
mji mkuu wa Israel ni Tel Aviv na siyo Jerusalem. hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga ( FF)
Tel Aviv makao ya ubalozi wa mataifa mbali mbali kwa kuwa hawakutaka kukubaliana ns Israel juu ya status ya Jerusalem. Lakini kwa Israel yenyewe mji wake mkuu ni Yerusalemu toka mwaka 1948.
 
.
Hakuna haja ya kuandikia mate wino huu hapa.
d7262b6ed78d51ee25bb8da00e49159e.jpg
.
Mwanzo 22
15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni

16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,

17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
 
Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?
Wanaweza kama wanajitambua. Kumbuka Israel hawaombi uraia, wanarudi kwenye ardhi yao
 
acha kumwaga omo bw mdogo kwa interest zako binafsi ukishatoka umetoka avha wengine wakae na huu ndio utaratibu duniani kote...
unamaanisha wamakonde wa mtwara nao warudi maputo msumbiji na kuwaletea mabavu wenyej waliowakuta pale kisa tu historia inasema na wao wana asili ya msumbiji? huo ni mfano mmoja tu acha kukurupuka dunia inaelewa nn kinachoendelea na ndo mana imepingana na kauli ya huyu nguruwe wa pink anayewaza kwa kuyumia WOWOWO
Tofautisha watu waliohama kwa hiari na watu walioondolewa kwa nguvu! Walioondolewa kwa nguvu kama waisrael tegemea kuwa wakipata nguvu watarudi kwenye maeneo yao kwa nguvu! Na ndicho kilichotokea! Watu walioondoka kwa hiari kama wamakonde toka msumbiji hawana haja ya kurudi huko!
 
Tel Aviv makao ya ubalozi wa mataifa mbali mbali kwa kuwa hawakutaka kukubaliana ns Israel juu ya status ya Jerusalem. Lakini kwa Israel yenyewe mji wake mkuu ni Yerusalemu toka mwaka 1948.
jerusalem ni mji wa wapalestine
 
Wakati nabii Ibrahim akijenga msikiti wa maka na mwanae nabii Ismail nabii Ishaka alijenga masjid Aqsaa nabii Ishaka alikuwa mtoto wa Sara mke wa nabii Ibrahimu
Uislam na ujengaji wa miskiti ulianza karne ya sita! Hao kina Ibrahim wasingeweza kuwa waislam na kujenga miskiti maana wakati huo uislam haukuwepo duniani. Ulianzishwa na Mohammed karne ya sita!
 
Uzuri ni kwamba mnakubali hapo Yerusalemu ndio asili ya wayahudi japo mnaona kwa kuwa alifukuzwa hastahili kurudi. Jibu ni kuwa wayahudi waling'olewa Jerusalem kwa nguvu na wamerudi kwa nguvu! Kufananisha na wamakonde waliotoka afrika kusini au Watusi toka Ethiopia siyo sahihi maana hawa walitoka huko kwa hiari na hawana haja ya kurudi huko! Lakini wayahudi walitolewa kwa nguvu na wana haja ya kurudi kwenye nchi na miji yao!
Wakitaka kurudi na wakijipanga, nani atawazuia?
 
waliopigana na waarabu ni marekani kwa mwamvuli wa israel.........israel hawana uwezo wa kupigana hata na al shabaab!.......Yerusalem kuna historia pia ya waislam hapo ! Israel wakristo ni asilimia 2 tu waislam ni asilimia 17 na wayahudi asilimia 75......wayahudi ni wapinga kristo na hawamuamini Yesu............ndio maana hitler aliwaua wayahudi kwa sababu walikuwa wanapingana na kristo...!.........wayahudi dhumuni lao kubwa ni kufuta dini mbili ukristo na uislam na kuisimika imani yao ya kipagani
Suala siyo dini, suala ni utamaduni, utambulisho, historia n.k. Dini zote ziwepo lkn utamaduni wao wauhifadhi vema
 
Adam alitii maagizo ya MWENYEZI au alimtii ibilisi?! Kama ulivyo andika!; Jee unakubaliana na Mimi kwamba uislamu ni kutomtii MWENYEZI Mungu na kumtii ibilisi? Mnusuru Mtume!
akili zako ndogo..binaadam ana tashwishi na utashi..ndio maana kuna toba..na ndio maana imeandikwa wazi ibilisi aliwatapeli Adam na mkewe..walijutia
 
Suala siyo dini, suala ni utamaduni, utambulisho, historia n.k. Dini zote ziwepo lkn utamaduni wao wauhifadhi vema
utamaduni mbona umehifadhiwa vizuri maeneo yote matakatifu kwa dini zote yametengwa tatizo wayahudi wanaleta choko choko
 
hao waisrael walirejea kutoka wapi hiyo 1948?....u halafu wayahudi halisi wa enzi za Musa walikuwa weusi hao wayahudi wazungu wametoka wapi?..........wapalestina nchi yao ni hiyo hiyo Israel kwa hiyo wapalestina watabanana hapo hapo yerusalem na waisrael mpaka mwisho wa dunia hii..........Israel hakuna myahudi ni makundi ya wapoland na wazungu wa magharibi huko waliokusanywa na umoja wa mataifa mwaka 1948 na waisrael hawajawahi kupigana na waarabu waliopigana na waarabu ni marekani taifa la israel limeundwa na marekani kwa maslahi yao binafsi
Ulikuwepo kipindi cha yesu
 
Hapo nakupinga Mkuu, Uislam ni ule tu mfumo alouleta aliyeitwa Mtume Mohamad,,, wenye nguzo ama mihimili yake mitano tu... Nje ya hapo, imani hiyo itafutie jina lingine.
Islam,Salama,salim,salima ni unyumbulifu wa neno moja lenye maana jisalimisha/nyenyekeza..kwa muktadha wa quraan uislam ni kujisalimisha kwa kwa mwenyezi mungu mmoja,muumba wa viumbe vyote,kuamini maisha baada ya dunia na malipo kwa Yale MTU alotenda..Adam,Ibrahim,musa,is a(yesu) n.k..wote walisimamia imani hiyo..ambayo ni uislam..sasa kama una uislam wako wa kwenye vitabu vya historian ya wazungu siwezi kukukataza kuamini hivyo
 
Back
Top Bottom