Dunia imeamua kujitoa ufahamu: Inadai Yerusalemu siyo mji mkuu wa Israel

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,952
2,000
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa, na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!
 
Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,274
2,000
una jiita mbinguni kwenu lakini inashangaza unadanganya hazarani!!! Hekaku la Yerusalemu lilivunjwa na kuchomwa na jeshi la Kiroma 70 WK na sio Waarabu. Waarabu walikuja 600WK kipindi Wayahudi washasambazwa duniani kote.
Na kwa Wakristo waliokuwa makini kiroho hawakushangaa 7bu Yesu alikua amewapa muongozo na mwisho wa Yerusalemu (soma Mathayo 23:37-39)
Dalili za uharibifu wa Yerusalemu ziko hapa (soma Luka 21:20-22)
Kwa Mkristo wa kweli hawezi kuiona Yerusalemu kuwa ni mji wa kidini
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,210

Daaaah,,,umemtumbua kinooma mkuu
 
laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,017
2,000
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!
wayahudi walishapotezwa Jerusalem ni mji wa wapalestina........
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,075

Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
una jiita mbinguni kwenu lakini inashangaza unadanganya hazarani!!! Hekaku la Yerusalemu lilivunjwa na kuchomwa na jeshi la Kiroma 70 WK na sio Waarabu. Waarabu walikuja 600WK kipindi Wayahudi washasambazwa duniani kote.
Na kwa Wakristo waliokuwa makini kiroho hawakushangaa 7bu Yesu alikua amewapa muongozo na mwisho wa Yerusalemu (soma Mathayo 23:37-39)
Dalili za uharibifu wa Yerusalemu ziko hapa (soma Luka 21:20-22)
Kwa Mkristo wa kweli hawezi kuiona Yerusalemu kuwa ni mji wa kidini
Kwanza si alishaambiwa limejengwa Jerusalem jipya la "kiroho" hili la kimwili ni la kazi gani? Kuna watu wanatumikishwa sana, hakuna lolote hija ni utalii tu na nchi zinaingiza mapato ktk hija. Mkristu kujifungamanisha na Israel, ambao walio wengi bado wanapingana na Ukristu na kumkana huyo Yesu, ni kujitoa ufahamu.

Jerusalem hata kabla ya kujengwa haikuwa ya wayahudi, kwa hadithi ile ya nchi ya ahadi walivyoipata, waliwakuta wenyeji, lakini pia walishahama kwa mamia ya miaka, hivi bado tu wawe na umiliki wa maeneo tu?

Tunafundishwa, kwamba wabantu kwa asili ni wenye asili ya misitu ya Kongo, je wazaramo wana Haki leo kurudi na kujikatia eneo kwa Kongo eti babu zao waliishi hapo?

Hili swala linawasumbua watu Sana, wanaolishikilia kwa manufaa yao ya kisiasa na kiuchumi wanasingizia dini kupata mashiko na huruma kwa wengine.
 
Mtambwe

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
685
1,000
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!
Nakubaliana na wewe Mkuu. Unajua Kabla ya Wajerumani kuanzisha Tanganyika Karibuni eneo lote La tanganyika lilikuwa sehemu ya Zanzibar, jee hili unasemaje Mzee? Ushahidi upo chini
africa1876_20150427095010055.jpg
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Sheria za ardhi, nadhani hili limitation ya muda ipo kwa Common law legal system,,, na sidhani kama zinapishana sana, ukikaa ktk ardhi na kuitumia, kwa muda wa miaka 12, huku pasi na kuwa na uelewa kwamba hilo eneo lina mwenyewe, na hajajitokeza hata ikamalizika hiyo miaka, hata akijitokeza, amepoteza Haki zake.
 
King0001

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
203
500
Kwa maoni yako ina maana Wangoni wa Ruvuma leo hii wanaweza kurudi Afrika ya Kusini na kudai eneo walilotoka wakati wanakimbia vita?
Na Watutsi leo wanaweza kurudi Ethiopia wakadai wapewe eneo walilotoka miaka hiyo kabla ya kuhamia Rwanda?
Ahaa....Mkuu kumbe watutsi asili yao ni Ethiopia! Ndo maana Kagame kaamua kuwapokea waethiopia watakaoondolewa Israel.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,057
2,000
Ndio hivyo Mkuu; mataifa yameamua kuinuka dhidi ya Israel; uzuri ni kwamba watashindana lakini hawatashinda no matter wana nguvu kiasi gani kwani Mungu wa Yakobo ndiye Bwana wa vita. Ni mnafiki pekee atakayekana leo Jerusalem sio mji wa Israel; na kwa kuwa dunia imeamua kuishi kinafiki kwa mgongo wa diplomasia; hayo ndio matokeo yake; chakula cha watoto anatupiwa mbwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom