msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
Nilikua nawajib wote wenye tabia kama hyo wapo weng sana humu jfSasa na wewe ndio umefanya nini?
Unamwambia mwenzako aache mapenzi ya kidini wakati wewe comment yako inaonyesha wazi kabisa una chuki dhidi ya dini fulani,
Angalia hapo kwenye RED unasema "Ingieni" na sio "Ingia" kwani hapo ulikua unawajibu wote wenye hiyo dini uliyoonyesha chuki zako au ulikua unamjibu mtu mmoja tuu?
Acha hizo chuki Mkuu utaishia kupata vidonda vya tumbo bure!!
Nb: Hata mimi ni muislamu..