Dunia ilimuogopa Idd Amini Dadaa?

Dunia ilimuogopa Idd Amini Dadaa?

I was a good soldier in the British Army. I was born in a very, very poor family. And I enlisted to escape hunger. But my officers were Scottish and they loved me. The Scots are good, you know.

By: Idi Amin
Haha I wish ningemuona huyu alhaj I'd amin
 
Ungeweza kabisa kumsahihisha na kujibu kwa staha bila kuandika maneno ya kashfa kwa dini ya mwenzio.
Kajidai elimu elimu elimu utafikili yeye alifundishwa shule kumbe wote tumeona kwenye video
 
idi-amin1.jpg


Kama kuna kitu wazungu walimchukia Amin ni ku order mabalozi wambebe.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Idi alikuwa fyatu... Ila pia wacha awakomeshe. Maana hata sie walitufiligisa na ndo Kazi hata wabeba mabox Wanafanya huko ubaya ni saa hizi

Cc USA bebe....

kusema ukweli zaidi ya nyerere kuadabisha huyu nduli AMINI DADA sina baya lake lolote ninalolijua labda kwa kuwa kipindi hicho mimi sikuwepo...na vile vile siku pata bahati ya kuhadithiwa...nimeambatanisha hiyo video ya mchekeshaji maarufu wa uganda ebu check kisha uniambie ni ipi tofauti ya WAHAYA pale kagera na huyo mganda....
 
Hoja
Mimi sijaona anakata matiti na kula wala kujajisi wasichana,Narator Amejawa na chuki.Pia edited
iliyokuwepo kati yangu mimi na wewe ni kuhusu chanzo cha vita ya kagera..
Umesema chanzo ni wanajeshi wa uganda kupgana club ya Tz,nikakuuliza wanajeshi wanaopgana club wanaleta vipi bendera ya taifa kwamba wametoka vitani..

Swala la kula nyama. Za watu ni la uongo..
 
Acha uongo nimesoma history primary to A level cjawah fundishwa habari za kuvamiwa na ndege toka Ug na si hili la vta hata historia nyngne za Tanganyika na Zenj cjawah fundishwa shule bali nimekuja Fahamu kwa kusoma sources tofauti eti bendera ya chama ndio kama ya nchi hv 78 bendera ya Taifa haikuwepo? We sema umeangalia video ile ya RTD now TBC acha kuandika kama umetoka Pulse club
Basi Huyo mwalimu wako aliyekufundisha hstory ni kilaza..alipata 4 form4 akaenda kwenye ualimu..

Unavyobisha bendera ya chama kusimama kama bendera ya taifa enzihizo hukumbuki hata rais alikua anaitwa Mwenyekiti.?
Kwenye mikutano walikuwa wanasema zidumu fikra za mwenyekiti badala ya rais..

Rudi tena darasani ila sahivi tafuta mwalimu ambaye sio kilaza mwambie akufundishe kuhusu "CHAMA KUSHIKA HATAMU"
 
Nilibahatika kukuta kitabu kinachohusu maisha ya Idd Amin Reginal Library kinaitwa UTENZI WA VITA VYA KAGERA nilipokisoma nilicheka sana kinachekesha
 
Soma kitabu cha UTENZI WA VITA YA KAGERA utaona jinsi lijamaa lilivyokuwa linajipandisha vyeo kila kukicha
Yeye kujiita hivyo hailalalishi watu wamuite hivyo, alilipenda hilo jina/cheo lakini hakubahatita kulipata.
 
Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
Hyo ni movie ya kwanza ya idd Amin ilichezwa na Mkenya anafanana sana na Idd Amin.
 
Hyo ni movie ya kwanza ya idd Amin ilichezwa na Mkenya anafanana sana na Idd Amin.
Huyo mkenya aliitwa Joseph Olita na alifariki mwezi June, 2014 kutokana na shinikizo la damu. Pamoja na umaarufu alioupata katika muvi hiyo ya Rise and Fall of Idd Amin na katika muvi chache zingine alizoigiza lakini amekufa huku akiwa kazingirwa na umasikini. What a pity!
 
[="Rohombaya, post: 16576314, member: 47517"]Dah.. hata Anod Shwazniga kaua watu wengi sana kwenye mkanda wa komando lakini nashangaa bado anadunda tu mtaani 🙂[/QUOTE]

Kweli mkuu itakuwa kwasababu ni mweupe tena wadini pendwa.
 
Huyo mkenya aliitwa Joseph Olita na alifariki mwezi June, 2014 kutokana na shinikizo la damu. Pamoja na umaarufu alioupata katika muvi hiyo ya Rise and Fall of Idd Amin na katika muvi chache zingine alizoigiza lakini amekufa huku akiwa kazingirwa na umasikini. What a pity!
hata bongo movie, kama si kujiuza wengi sana ni masikini ambao wanangangania kuishi maisha ya magizo hadi kitaa
 
Back
Top Bottom