Dunia ilimuogopa Idd Amini Dadaa?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
 
Unaongelea jumuiya ipi ya kimataifa? Ama Jumuiya ipi ya Afrika Mashariki? Hivi aliyemfurumsha huyo Heilongjiang, Idi Amin Dadaa anatokea jumuiya ipi?
 
Nyingi zilikuwa propaganda tu za West.

Idd Amin alikuwa mmoja wa majasusi wa kiafrika waliopata training toka kwa wakubwa wa west lengo ni kumfanya awe pandikizi wao.

Bahati mbaya akawageuka wakubwa, wakaamua kumuadabisha.

Ki ukweli alikuwa na maovu yake mengi sana kama ubabe, na kutoheshimu nchi nyingine ila mengine huwa yanaongezewa chumvi.

Aliwahi kutaka kuivamia Kenya Muingereza akamchimba mkwara akaogopa, akaivamia Tz mzanaki akimuonesha usubhe subhe na mengineyo ambayo hayako kwenye public media.
 
Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
Hiyo ni movie inaitwa the last king of scotland, vyote hivyo ni uongo tu.Hajawahi fanya vitu kamahivyo, ila alikuwa mbabe tu
 
Unaongelea jumuiya ipi ya kimataifa? Ama Jumuiya ipi ya Afrika Mashariki? Hivi aliyemfurumsha huyo Heilongjiang, Idi Amin Dadaa anatokea jumuiya ipi?
Alimfurumsha kwa kumchokoza siyo kwa maasi yaake
 
Hizo zilikuwa
Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa

Hizo ni propaganda za wazungu.
 
"niTafurahi malikia wa uingereza ukija kunitembelea nchini kwangu,usiku m nitalala chini we utalala juu yangu,namaanisha utalala ghorofani mi ntalala nyumba chini"..CBE IDD AMIN DADA
 
Vita vya kagera wanajeshi wastaaf wa Uganda wandamizi wanasema haikua mpango wa kuivamia Tanzania wala si mpango wa kukusudia vita ila jeshi wao mwenye cheo cha chini alipitikiwa na ujana kuvuka mpaka na kupigana club za starehe .Kilichotokea kama kawaida baadh ya majeshi kujifanya wababe akarudi kuchukua wenzake hapo ndipi tafran ilianza.Wastaaf hao wanasema haukua mpango wa Idd amin dadaa.Idd amin alikua ni muislam na ameharamishiwa kula nyama ya mtu ama kudhini .Hakuwahi kula nyama ya mtu.Aliponzwa na uislam wake na mikakati yake .Pamoja na hayo ubabe wake ni kama tu wa viongozi wa kiafrika waliopo sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom